Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Che...
Si mimi niliyesababisha mgawanyiko wa 20:80.
 
Ksk,
Mimi sina tatizo na fikra za wenzangu.

Naheshimu fikra zao na mimi naeleza ninayojua tena bila ghadhabu.

Kueleza niyajuayo kwa wenzangu ni kuzeeka vibaya.

Wazungu wanaita "name calling.''

Hawajui kama hawajui na hawajui hawataki kuwasikiliza wenye kujua.
 
unaweza kuprove hii statistics uliyoiweka hapa maana chanzo cha hizi takwimu ni nini?
Sojo...
Usijihangaishe.
Chukulia kuwa ni za kupikwa.

Kwako wewe muhimu ni kuwa ujue kuwa lipo tatizo na Waislam wanasema kuwa liko tatizo na viongozi wetu wanapata taarifa hizi kuwa liko tatizo katika jamii.

Wanaostahili kuwajibu Waislam wako kimya kwa nini wewe uhangaike?
Wao ndiyo wenye kujua kama tumesema kweli.

Si unaona hapa naingia kwa jina langu sijajificha?
 
Hivi Waislamu wao kutopenda Shule toka tupate Uhuru ilitokana na Nini? Au wanafundishwa såna kuhusu Ahera Na kuona hapa Duniani sio muhimu?
 
Naona sasa umechanganyikiwa. Uuzwaji watumwa kule Zanzibar ni propoganda za Kivukoni. Soko kuu la watumwa Zanzibar, ni propoganda za Kivukoni. Ila wewe haya ya kwako yasiyo na shahidi zaidi ya wewe mwenyewe ndiyo ukweli. You are stooping too low.
watumwa hawakuuzwa na waarabu , hata waafrika wakiuza watumwa na wazungu
 
Mfumo gani wakati mfumo wa serikali ni secular
MFUMO NI WA KRISTO NA NDIO UNAOWATESA MPAKA WAKRISTO WENGINE KAMA WALIOKO CHADEMA NA VYAMA VYENGINE, CCM inaendelea kufuata mfumo ule ule wa wakoloni kuwatesa wanaowapinga
 
Hivi Waislamu wao kutopenda Shule toka tupate Uhuru ilitokana na Nini? Au wanafundishwa såna kuhusu Ahera Na kuona hapa Duniani sio muhimu?
Mtochoro,
Ingependeza kabla hujaandika angalau ufanya utafiti kidogo.
Haya uliyosema si kweli.

Inajuhistoria ya EAMWS najuhudi zake za kujega shule?

Unajua kuwa EAMWS ilijenga shule nyingi Tanganyika na katika Muslim Congress ya 1962 ilikuja na azimio la elimu la kujenga shule nyingi na Chuo Kikuu?

Ikiwa hujui nifahamishe nikupe kisa kizima na nini yalikuwa matokeo ya juhudi hizi.
 

Sultani alimuuwa nani ?? sultani alimbambikizia nani kesi , Sultani hakuwa na nyumba hata moja , alikuwa akikaa nyumba ya serikali. Leo hii hii miafrika kila kukicha ndiye inayoendekeza kunajisi, kuuwa waafrika wenzao, kiba mali za watu mabenki, kuwanyonya masikini na kodi na tozo zisizoingia akilini. Nenda kule Afrika Kusini kama wazulu hawatokunyofoa korodani .
 
ksk,
Unaniuliza wapi nafahamika:

BBC Glasgow, Scotland

Voice of America, Washington DC

Radio Tehran, Iran


Na Prof. Mohamed Bakari Fath University, Istanbul Turkey
 
Che...
20:80 ndiyo inaleta mgawanyiko.
 
Haya, sasa tupo awamu ya 6, Rais Muislamu, Waziri mkuu muislamu, katibu mkuu kiongozi muislamu, Ratio ikoje?

Mzee huwa una madini mengi ila hoja zako za 'Udini' huwa zinanifanya nikuone msomi kanjanja, kabla ya u kristo na u islamu sisi ni watanzania, ni aibu kwa mwanazuoni kama wewe kulia lia kwenye issue zisizo na tija kwenye taifa hili, unadhani uislamu wako ni bora kuliko u Tanzania wako? mawazo ya kitumwa kabisa haya.
 
Masta ...
Ndiyo dunia watu lazima wapishane mawazo.
Hapana haja ya lugha za kukebehi "kanjanja," "kulia," nk.

Naamini unaijua kalamu yangu haiandiki matusi wala kejeli.
Nawe ungenilipa kwa heshima hiyo hiyo.

Bahati mbaya wanaostahili kujibu wako kimya na ukimya huu unatokana na uzito wa jambo lenyewe.

Unajibu wewe tena kwa jeuri.
 
Ni lazima ujibiwe, Uislamu wako ni bora kuliko utanzania wako? Kama babu zako walikua na aina hii ya fikra sintoshangaa ni kwanini hawakuandikwa katika historia ya Tanganyika, Inaonekana wazi walipanga kujinufaisha wao binafsi na kuleta u dini hapa nchini.
 
Nadhani unamwambia Mohamed Said siyo mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…