Ninaniniyule
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 101
- 145
Pole mkuu.hata hili hawezi kujibu.upepo haupo upande wake kwa sasaNajua data unazotunza ni zile zinazokubaliana na hoja zako tu,zinazopinga hoja zako huwezi kuzitunza ,kwa tunaokufahamu hapa JF hatushangai baada ya wiki utaanzisha mada kama hii na hoja zako ni hizi hizi
Hivi wewe huchoki na huu upuuzi wako, historia ya kweli my foot! Bahati nzuri wale uliowazoea wakimeza hizi ngano zako idadi yao imekuwa ikipungua kila siku. Amka Mohamed Said, dunia haikusimama kama unavyoelekea kuamini na kwa sasa hadi wajukuu wako watakuwa wanakushangaa wakijiuliza huyu babu vipi. Naomba nikupe ushauri mdogo, umeshahangaika vya kutosha heri sasa ung'atuke upumzike.Ndugu zanguni kwa kawaida hivi ndivyo tunavyomaliza mara zote mijadala hii.
Jaribu kuanzia hapa rudi nyuma soma michango.
Lakini kunakuwa na faida inapatikana kwa wale ambao hawakuwa wanaijua historia ya uhuru wa Tanganyika kujifunza historia ya kweli.
Day...Maswali yangu hajibu hata. Hasa ya hali ya awamu ya SITA.Tusubiri aje mgalatia kama raisi atakuwa na hizi takwimu
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Day...Pole mkuu.hata hili hawezi kujibu.upepo haupo upande wake kwa sasa
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
Mag3,Hivi wewe huchoki na huu upuuzi wako, historia ya kweli my foot! Bahati nzuri wale uliowazoea wakimeza hizi ngano zako idadi yao imekuwa ikipungua kila siku. Amka Mohamed Said, dunia haikusimama kama unavyoelekea kuamini na kwa sasa hadi wajukuu wako watakuwa wanakushangaa wakijiuliza huyu babu vipi. Naomba nikupe ushauri mdogo, umeshahangaika vya kutosha heri sasa ung'atuke upumzike.
Belo,Najua data unazotunza ni zile zinazokubaliana na hoja zako tu,zinazopinga hoja zako huwezi kuzitunza ,kwa tunaokufahamu hapa JF hatushangai baada ya wiki utaanzisha mada kama hii na hoja zako ni hizi hizi
Saint...Ni upumbavu 21 century mtu kulia lia mambo ya dini yangu nimebaguliwa,dini yangu naowa sizai watoto nikizaa hawathaminiwi dini yangu tupo wengi sijui tulipigania uhuru blah blah blahs tunaonewa usichokijua sisi ambao tumo humu tunaopata wasaa wakubishana huu ujinga ni vile tunajikuta tuna viji-channel vya kuingiza shiling mbili tatu yupo muislam pale Tandale muda huu hana hata mia mbovu ameenda kwa mangi Mkristo kukopa unga watoto wake wa kiislam wale walale yeye humkuti humu akijadili wala he don't give a sh*t about it!!!
Mada yako hadi muda huu 20:47 usiku ina siku mbili ina likes 11 tu unadhani humu waislam wakukupa likes hawapo?wapo ila wanajua unaandika na unawajaza ujinga wao wanachojua maisha ya Tanzania mwisho wa siku bila kujali wewe ni muislam,Mkristo sijui Buddha yanataka uweke mkate mezani yenyewe maisha hayazijui hizo dini zenu miaka na miaka unaandika hizi pumba punguza elimisha jamii kwa ujumla umuhimu wa kujitambua na kuondokana na mdudu CCM,hizo ajira unazolilia hapa kwa waislam wenzako hawa ndo wanagawana wao wame-advance hawaangalii tena dini wanachoangalia ni ujamaa!
Acha janja janja.Nanren,
Nacheka peke yangu.
Klu Klux Klan kamkamata kijana wa Kinegro anamuuliza, "Unawapenda wanawake Wazungu?"
Kijana akadhani akisema ndiyo anawapenda atasalimika.
Akajibu, ''Ndiyo nawapenda.''
Jamaa akamwambia, "Aha kumbe unawatamani wanawake wetu ukiwapatia nafasi utawabaka."
Kajuta kaona bora angesema anawachukia.
Unazungumza na Mohamed Said.
Mzee Mo, mbona matajiri wengi hapa nchini, wanamichezo maarufu, wasanii mahiri wenye viwanda vikubwa nk wengi ni waislamu!?Smart...
Ni hatari kuliko hatari yenyewe.
Ukiwa na watu wa dini moja wamehodhi fursa zote wakati wenzao wako nje ya hizo fursa unajenga chuki katika jamii.
Lazima hali hii iondoshwe.
Mkuu,Kwa bahati mbaya sana hii ni historia ambayo ilifunikwa na hakuna yeyote aliyekuwa anaijua hadi nilipoandika kitabu cha Abdul Sykes na kuchapwa mwaka wa 1998.
ksk,Sis tunaijuwa, Nyerere/TANU ilileta uhuru. Abdul Sykes hakuwa Mtanganyika bali mtu wa Afrika Kusini. Hili wewe hutuambii. Kama ulikuwa hujui pata hiii ilmu toka kwangu. Picha hazielezi lolote zaidi na unavyozitafsiri. Piacha siyo prpoof kuwa hao walileta uhuru. Kama walikuwa serious kwa nini wakamwachia Nyerere. Kumbuka kudai uhuru ni siasa na siasa ni ushindani. Nyere alishindani nao aklawatolea mbali. Alikuwa na uwezo unaotakiwa na ndiyo maana ndiye alieonekana anafaa. Abdul Sykes aache kupigania uhuru wa kwao South Africa aje kupigania wa TZ. Kwanza wakoloni wangemtolea uvivu na ndiyo kwanza miaka ya kupata uhuru ingesogea mbele.
Ngorunde,Mzee Mo, mbona matajiri wengi hapa nchini, wanamichezo maarufu, wasanii mahiri wenye viwanda vikubwa nk wengi ni waislamu!?
Na hatujasikia wakristo wakilalamikia hilo.
Huu uchimbuaji wako wa historia uwe wa kuelimisha..unapoingia kwenye uhamasishaji wa chuki kati ya hizi dini mbili, utaacha dhahama kubwa kwa kizazi kijacho.
Wewe hutaathirika na hizi chuki unazopanda kwa vile hutakuwepo, ila jiulize..ni vizuri ukaange mbuyu na kuwaachia wengine watafune??
Anti...Mkuu,
Ili kuweka mizania sawa kwenye huu uzi wako, Una maoni gani juu ya uchomaji Moto uliopelekea uteketezaji wa maelfu ya makanisa Bara na Znz wakati wa awamu ya 2 na ya 4 ?
Hapana..Anti...
Fungua uzi mwinngine kwa hili watu wajadili.
Belo,
Tunaweza tukafanya mjadala wa adabu na heshima bila ya kejeli na kebehi.
Mathalan ukishanisoma na ukaona kuna jambo una fikra tofauti na zangu ukaeleza.
Sasa hii "kulia," na maneno ya kukashifiana yanatoa ladha ya mjadala.
Unaona? Wala sijachukia wala kupandisha hasira, nakuonea huruma tu kwa namna unavyohangaika. Ni bahati mbaya tu kuwa aliyetota hajui kutota.Je unasoma kweli na kufuatilia majibu unayoyapata humu pamoja na maswali ambayo huthubutu kuyajibu. Nilikushauri tu, kwaheri!Ma
Unaandika umechukia na mimi sioni kipi kinakupandisha hasira.
Je unajua Mohamed Said kazaliwa lini? Yeye mwenyewe anajua kuna kaka zake humu. Alipojiunga na JF forum mwaka 2008 alitukuta humu na toka siku ya kwanza hoja zake ni hizo hizo mashujaa wake wa uhuru wa Tanganyika, wakiwa ni walowezi wa kutoka Afrika Kusini na Congo. Kisa? Waliishi pamoja mitaa ya Gerezani na wakaoleana.Mbaya zaidi anayekuambia hivyo Ni mtoto mdogo na anatambua fika wewe ni sawa na baba yake
Haki Ni nini?Ngorunde,
Kugombea haki si kuleta chuki.
Tanganyika haikudai uhuru wake kwa kuwa wanawachukia Waingereza.
Masta...Ni lazima ujibiwe, Uislamu wako ni bora kuliko utanzania wako? Kama babu zako walikua na aina hii ya fikra sintoshangaa ni kwanini haw Abdulakuandikwa katika historia ya Tanganyika, Inaonekana wazi walipanga kujinufaisha wao binafsi na kuleta u dini hapa nchini.
Well said brother; suala la UDINI Tanzania linakuzwa tu, najaribu ku imagine kwa mfano Mwalimu kwa dini yake halafu angeamua kunyang'anya shule za Waislam tu halafu aziache za Wakristo ili Watanzania wote wasome hali ingekuaje? NAhisi angesomewa hadi Albadiri. Eti analaumiwa mwalimu kwa kuweka udini?? Watu hata aibu hawana, watu wamezoea kutangaza dini zao kwa kutumia UONGO, lazima wamtangazie mtu wa dini nyingine UONGO ili tu ionekane kwamba walionewa. Huyu mzee alitaifisha shule zote za kanisa lake ili hata Waislamu na wapagani wasome, hadi shule iliomfanya yeye aje mjini nayo aliitaifisha ili wapagani, waislamu wasome halafu unasemaje huyu mtu aliwatenga Waislamu? Najaribu pia kujiuliza, hivi ni nchi gani duniani yenye waislamu wengi na HAWALALAMIKI!? Nitajieni moja.Mzee wangu, Mo
Naishi Tanzania sasa kwa zaidi ya miaka 30.
Katika kipindi hiki nimekua, nimesoma, nimetafuta kazi na nimefanya kazi na WATANZANIA.
Katika watanzania hawa, walikuwepo makabila tofauti na ya kwangu, dini tofauti na yangu.
Mpaka sasa hivi naandika, sijawahi kubaguliwa ama kumbagua mtu kwa dini yake.
Sijawahi kubaguliwa, wala mimi sijawahi kumbagua mtu kwa kabila lake.
Ni tofauti sana na hapo Kenya tu kwa mfano ambapo watu wanabaguliwa kwa makabila hadi leo.
Au ni tofauti sana na pale Nigeria (moja kati ya taifa elite kabisa Africa) ambapo wakristo na waislam wanabaguana kila leo.
Wanachomeana makanisa na misikiti.
Kwa hili, Baba wa taifa Mwl J.K Nyerere abarikiwe sana.
Mungu aendelee kumpa pumziko la milele.
He was one in a million
Mag,Unaona? Wala sijachukia wala kupandisha hasira, nakuonea huruma tu kwa namna unavyohangaika. Ni bahati mbaya tu kuwa aliyetota hajui kutota.Je unasoma kweli na kufuatilia majibu unayoyapata humu pamoja na maswali ambayo huthubutu kuyajibu. Nilikushauri tu, kwaheri!
Je unajua Mohamed Said kazaliwa lini? Yeye mwenyewe anajua kuna kaka zake humu. Alipojiunga na JF forum mwaka 2008 alitukuta humu na toka siku ya kwanza hoja zake ni hizo hizo mashujaa wake wa uhuru wa Tanganyika, wakiwa ni walowezi wa kutoka Afrika Kusini na Congo. Kisa? Waliishi pamoja mitaa ya Gerezani na wakaoleana.