Ninaniniyule
Senior Member
- Mar 20, 2018
- 101
- 145
.Si Dhani kama Picha inaendana na maswali niliyouliza.Labda naomba unisaidie Mzee wangu kuelewa maana ya hii picha na majibu ya maswali yangu.View attachment 2099988
Njia nyepesi sana ya kulimaliza hili tatizo ni kwetu sisi kulisema hadharani kuwa hatupendi kuona taasisi za umma zinahodhiwa na watu wa dini moja.
Sheikh Ponda hata akiongoza maandamano atapuuzwa.
Aliongoza maandamano dhidi ya Ndalichako na NECTA yake Ndalichako akapandishwa cheo kuwa Waziri wa Elimu.
Ujumbe kwa Waislam ulikuwa wao hawajali hisia zetu.
Hili ni la BAKWATA na Mufti.
Yeye aseme.
Atasikilizwa.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mama Mulamula kateua Wajumbe wa Baraza la Uongozi wa Kituo Cha Kimataifa Cha Mikutano Arusha (AICC) hakuna Muislam hata mmoja.
Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app