Asp,
Anadai kuwa historia hii ya mchango mkubwa wa waislamu imefutwa.
Anadai yeye anajaribu kuiweka wazi na kuweka wazi asilimia 20 ya waisilamu na 80 ya wakristo sio uwiano sawa.
Naelewe fika umuhimu wa kuelewa historia.
Ambacho sielewi ni kile unachouliza, nami najiuliza hayo hayoSy
Je anataka kutuonyesha kuwa kuna ubaguzi wa chini chini Hapa nchini?
Je Kama Waarabu, na Wazungu wasingekuja na Dini zao, pamoja na vita zao za Udini tung
SYL...
Mzee Said eee, jibu hoja: jee, Wamanyema na Wazulu ni makabila ya kizawa ya Tanganyika/Tanzania?
Pili: jee, kuna uwezekano gani wa Mzulu kuwa Muislamu mwanzo wa karne ya 19?
Schmidt,
Wamanyema asili yao ni Congo na Wazulu ni Afrika Kusini.
Umesahau kuwataja Wanubi,
Hawa wanatoka Sudan.
Kuhusu dini ya Kiislam kwa Wazulu Kleist Sykes anaeleza katika mswada wake wa kitabu alioandika kabla hajafa mwaka wa 1949 kuwa baba yake Sykes Mbuwane aliingia Germany Ostafrika na ndugu yake Ali Katini.
Hawa Wazulu waliletwa na Hermann von Wismann na kiongozi wa jeshi hili la Wazulu alikuwa Chief Mohosh ambae baadae akiwa Tanganyika alikuja kujulikana kama Affande Plantan.
Affande Plantan ndiyo baba wa Thomas Saudtz Plantan, Schneider Abdillah Plantan na Ramadhani Mashado Plantan.
Katika jeshi hili alikuwapo Machakaomo baba yake Hassan Machakaomo aliyekuja kuwa mmoja wa viongozi wa Yanga miaka ya 1940.
Wote hawa Wazulu na Waislam.
Schneider Plantan yeye alikuwa Katibu wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir katika Daawat Islamiyya.
Nakuwekea hapo chini kipande kutoka mswada wa kitabu cha Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism in Tanganyika:''
''My aunt came to see me.
When I narrated the family history she broke down in tears.
My aunt took us to Kwa Likunyi a village where my uncle Kattini Mbuwane lived, this village was some few miles from Nyambane where Sykes Mbuwane had originally settled when the clan trekked north from South Africa.
There I was informed that my uncle had died only some few months back.
All that was left me to do was to go and pay respect to his grave, as is the custom for Muslims.
My uncle had left behind three children, my cousins, Abdallah, Ahmed and Asya.
The family was well to do.
Abdallah the eldest child had his own fishing boat and was therefore financially independent.
Somehow my cousins were not too happy to see me, they thought I had gone there to claim property left behind by uncle Kattini.
They did not believe that after fifty years I, the child of a Zulu who had settled in Tanganyika many years ago would spend so much money to travel all the way from Tanganyika to Mozambique just to visit and get to know an uncle I had not even seen.''
(''Under the Shadow of British Colonialism in Tanganyika The Autobiography of Ally Kleist Sykes,'' As told to Mohamed Said)