Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Baba wa Taifa na tatizo la Udini

Unaona? Wala sijachukia wala kupandisha hasira, nakuonea huruma tu kwa namna unavyohangaika. Ni bahati mbaya tu kuwa aliyetota hajui kutota.Je unasoma kweli na kufuatilia majibu unayoyapata humu pamoja na maswali ambayo huthubutu kuyajibu. Nilikushauri tu, kwaheri!

Je unajua Mohamed Said kazaliwa lini? Yeye mwenyewe anajua kuna kaka zake humu. Alipojiunga na JF forum mwaka 2008 alitukuta humu na toka siku ya kwanza hoja zake ni hizo hizo mashujaa wake wa uhuru wa Tanganyika, wakiwa ni walowezi wa kutoka Afrika Kusini na Congo. Kisa? Waliishi pamoja mitaa ya Gerezani na wakaoleana.
Ila Oscar Kambona naye alisema Nyerere ni Mtusi!.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah huyu mzee mwanzoni nilimchukulia Kama mtu mwenye elimu kubwa ya historia ya nchi lkn nadhani nilikosea. Ni mtu mwenye maarifa mengi ya UDINI Kila anachokiandika ni kulialia tu mwingine ni FaizaFoxy Hawa watu mh Kama ni dini Basi wameipokea vibaya. Bahati nzuri watanzania waislamu kwa wasio waislamu, wakristo kwa wasio wakristo hawana muda na UDINI lkn wako busy na DINI zao
 
MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
Mambo wazi kabisa!Safi sana.
 
Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?

Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?

Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?

Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
 
Vagina unawashwawashwa nini? Au ndiyo siku zako za mwezini zisizoisha? Niende huko ili iweje?
Afadhali hukubadilisha Id , bwana Yesu alishawataja watu Kama nyinyi wengine ndiyo mlivyozaliwa, hamlaumiki

wjd-billboard-born-gay.jpg
 
Mohamed Said Wakati wewe unalia udini wengine wanasifia waislam kuwa mbele.

Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?

Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?

Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?

Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?

Umeuliza maswali ya msingi sana, akikujibu nitag tafadhali.
 
Kwa mfano, embu tuseme hivi; waislamu ndio walijitoa zaidi kuupigania uhuru wa Tanganyika na historia hiyo haiwekwi wazi na rasmi. So what?
Nini mleta mada unakitaka?
Tufanyeje sasa?
Mwisho itakuwaje?
 
King...
Usiseme hivyo ndugu yangu.

Mimi nashukuru kuwa nilizaliwa wakati huo na watu hao.

Hii ndiyo imenifanya mimi kuwa sehemu ya historia hiyo na hivyo kujua mengi.

Tuna wajibu wa kuwafundisha wenzetu historia hii.

Haifai kuwananga.
Historia hii imewashtua wengi sana.
Allah azidi kukuhifadhi mzee wetu Inn Shaa Allah.
 
Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?

Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?

Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?

Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
Na utegemeee watu kubadilisha dini ili kuchangamkia fursa ya kupata madaraka kwa kofia ya Imani.... (Huyu jamaa anataka ku-open a Pandoras Box).... Mimi napenda nchi ambayo sihitaji hata kujua aliye mbele yangu imani yake, sababu najua ni binadamu mwenzangu....

Yaani madaraka yenyewe haya machache badala ya watu kuweka vichwa pamoja ni vipi tutaongeza hii keki na kuigawana kila mmoja aipate tunatumia muda wa hicho kichache kigawanywe kadri ya Imani ya mtu ? na Sio tu Imani bali baadhi ya Imani kwa kutumia kipimo cha wangapi walipigani uhuru.... Na je tukimaliza hayo twende Kusini tuwafukuze wale wahamiaji ambao ancestors wao walitokea kusini mwa Afrika; After all kama hawa wanaostahili wananyimwa huenda kuna wale ambao hata hawastahili kuwepo hapa.....
 
Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?

Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?

Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?

Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
Zanzibar...
Nimeandika kitabu cha Abdul Sykes baada ya kuona historia ya kweli ya TANU na uhuru wa Tanganyika imefutwa.

Je ndugu yangu ulipata kuyasoma popote haya ninayoweka hapa?

Ulipata kuujua mchango wa hawa wazalendo unaowasoma leo?

Fidia ya Waislam ni kwanza mchango wao kama wanajumuia wa jamii iliyokuwa mstari wa mbele kupigania uhuru wa Tanganyika utambulike kwa kuwapa heshima wanazostahili.

Kuhusu madaraka pasiwe na ubaguzi dhidi yao.
Tamko rasmi halihitajiki leo.
 
Tangawizi,
Unaweza kuiona hii hoja haina maana kwako lakini hii 20:80 inahangaisha wengi na kwingi.
Wengi wangependa sana kama serikali ingetoa kauli.
haina mashiko hoja hii. Na wanayohangaika nayo pia wanafanana na hoja yenyewe. Haitakaa kupewa uzito duniani wala mbinguni. Kama hoja hii unaona ina mashiko, nakutaarifu umechelewa. Zile crusade za miaka ile zingelimaliza dini moja ili nyingine iendelee kuwepo. Wamekufa waliopigana na hawakufanikiwa.
Trust me hutafanikiwa. Sababu ina agenda yenye kubeba kudhalilishana na kuonea wengine
 
Tangawizi,
Unaweza kuiona hii hoja haina maana kwako lakini hii 20:80 inahangaisha wengi na kwingi.
Wengi wangependa sana kama serikali ingetoa kauli.
haina mashiko hoja hii. Na wanayohangaika nayo pia wanafanana na hoja yenyewe. Haitakaa kupewa uzito duniani wala mbinguni. Kama hoja hii unaona ina mashiko, nakutaarifu umechelewa. Zile crusade za miaka ile zingelimaliza dini moja ili nyingine iendelee kuwepo. Wamekufa waliopigana na hawakufanikiwa.
Trust me hutafanikiwa. Sababu ina agenda yenye kubeba kudhalilishana na kuonea wengine. Hujachoka tu?

. UHata kama ma Phd wanatuletea juisi kutoka Madagascar ya kuganga corona ??
😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
haina mashiko hoja hii. Na wanayohangaika nayo pia wanafanana na hoja yenyewe. Haitakaa kupewa uzito duniani wala mbinguni. Kama hoja hii unaona ina mashiko, nakutaarifu umechelewa. Zile crusade za miaka ile zingelimaliza dini moja ili nyingine iendelee kuwepo. Wamekufa waliopigana na hawakufanikiwa.
Trust me hutafanikiwa. Sababu ina agenda yenye kubeba kudhalilishana na kuonea wengine. Hujachoka tu?

😂 😂 😂 😂 😂 😂
Tangawizi,
Hapana ugomvi.
Shura ya Maimamu ilitoa waraka kwa nia kuwa viongozi wa nchi wajue kuwa lipo tatizo.

Hakuna zaidi ya hilo.
Wala hili si suala la kutaka Uislam utawale.

Hili ni kupigania haki.
 
Hao watu waliona mbali sana.
Masta...
Hawakuona mbali hata kidogo.
Kwa muda walifanikiwa na historia ikawa ndiyo hiyo uijuayo wewe kwa miaka mingi.

Ghafla siku moja gazeti la Africa Events (AE) likachapa makala ya Mohamed Said inaeleza histori ya TANU ambayo watu wengi walikuwa hawaijui.

Huu ulikuwa mwaka wa 1988.
Gazeti likaanza kununuliwa kwa wingi siku ile kwa kile kilichokuwa kimeandikwa.

Taarifa ilipowafikia wahusika haraka magazeti yale yakakusanywa na siku ya pili kila aliyekwenda kuliuliza AE aliambiwa limekwisha.

Hawakuwa wameona mbali kuwa itakuja siku historia hiyo waliyoifuta itaandikwa.

Wataweza kukusanya kila siku gazeti litakalotoka na stori ya TANU wasiyoipenda? Watakusanya toleo zima?

Mwaka wa 1990 gazeti la Annuur likaanzishwa na katika gazeti hili likaanza kuchapa historia ya TANU kama ilivyostahili.

Wasomaji wakawa wanalingojea Annur siku ya Ijumaa kwa hamu wanataka kusoma Mohamed Said amekuja na nini leo.

Hawakuwa wameona mbali kama ulivyowasifia.
Kinyume chake wakawa wamejivua nguo hadharani.

Mwaka wa 1998 ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) the Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika,'' kikachapwa London.

Kizazaa kitabu kilipoingia nchini na kuanza kuuzwa.
Hawakuwa wameona mbali.

Kitendo cha kuifuta historia ya kweli kikawafanya watu sasa waanze kuisoma historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika upya.

Kitabu kikaibua wazalendo ambao hawakupata kusikika kabla.
Kitabu kikatafsiriwa na kuchapwa Nairobi 2002 ili watu wakisome kwa Kiswahili.

Sikutegemea hata kwa mbali.
Kitabu kikachapwa mara 4 na sasa tunakwenda toleo la 5.

Hawakuwa wameona mbali.

1643657787202.png
 
Mpaka sasa bado sijamwelewa Mohammed Said nini mantiki ya mada zake za uislam katika historia ya siasa za Tanzania. Sijui anataka nini?

Anataka waislamu wafidiwe kwa jinsi walivyopigania uhuru wa Tanganyika?

Anataka waislamu wapewe fursa za madaraka kwa kofia ya uislamu wao?

Anataka historia ya uhuru wa Tanganyika na Tanu itamke rasmi mchango wa kipekee wa waislamu?
Asp,
Anadai kuwa historia hii ya mchango mkubwa wa waislamu imefutwa.
Anadai yeye anajaribu kuiweka wazi na kuweka wazi asilimia 20 ya waisilamu na 80 ya wakristo sio uwiano sawa.

Naelewe fika umuhimu wa kuelewa historia.

Ambacho sielewi ni kile unachouliza, nami najiuliza hayo hayo
Je anataka kutuonyesha kuwa kuna ubaguzi wa chini chini Hapa nchini?
Je Kama Waarabu, na Wazungu wasingekuja na Dini zao, pamoja na vita zao za Udini tung
 
Kwa mfano, embu tuseme hivi; waislamu ndio walijitoa zaidi kuupigania uhuru wa Tanganyika na historia hiyo haiwekwi wazi na rasmi. So what?
Nini mleta mada unakitaka?
Tufanyeje sasa?
Mwisho itakuwaje?
Zanzibar...
Jambo la kufanya ni kuwapa heshima wanazostaili hata kama ''post humus.''

Abdul na Ally Sykes wamepewa Medali ya Mwenge wa Uhuru mwaka wa 2011 katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.

Huu ni mwanzo mzuri.

Picha hiyo nimeshika Medali ya Mwenge wa Uhuru aliyotunukiwa Abdul Sykes.
Niko na wanae.

1643658524430.png
 
Mzee Said eee, jibu hoja: jee, Wamanyema na Wazulu ni makabila ya kizawa ya Tanganyika/Tanzania?

Pili: jee, kuna uwezekano gani wa Mzulu kuwa Muislamu mwanzo wa karne ya 19?
 
Asp,
Anadai kuwa historia hii ya mchango mkubwa wa waislamu imefutwa.
Anadai yeye anajaribu kuiweka wazi na kuweka wazi asilimia 20 ya waisilamu na 80 ya wakristo sio uwiano sawa.

Naelewe fika umuhimu wa kuelewa historia.

Ambacho sielewi ni kile unachouliza, nami najiuliza hayo hayoSy
Je anataka kutuonyesha kuwa kuna ubaguzi wa chini chini Hapa nchini?
Je Kama Waarabu, na Wazungu wasingekuja na Dini zao, pamoja na vita zao za Udini tung
SYL...
Mzee Said eee, jibu hoja: jee, Wamanyema na Wazulu ni makabila ya kizawa ya Tanganyika/Tanzania?

Pili: jee, kuna uwezekano gani wa Mzulu kuwa Muislamu mwanzo wa karne ya 19?
Schmidt,
Wamanyema asili yao ni Congo na Wazulu ni Afrika Kusini.
Umesahau kuwataja Wanubi,

Hawa wanatoka Sudan.

Kuhusu dini ya Kiislam kwa Wazulu Kleist Sykes anaeleza katika mswada wake wa kitabu alioandika kabla hajafa mwaka wa 1949 kuwa baba yake Sykes Mbuwane aliingia Germany Ostafrika na ndugu yake Ali Katini.

Hawa Wazulu waliletwa na Hermann von Wismann na kiongozi wa jeshi hili la Wazulu alikuwa Chief Mohosh ambae baadae akiwa Tanganyika alikuja kujulikana kama Affande Plantan.

Affande Plantan ndiyo baba wa Thomas Saudtz Plantan, Schneider Abdillah Plantan na Ramadhani Mashado Plantan.

Katika jeshi hili alikuwapo Machakaomo baba yake Hassan Machakaomo aliyekuja kuwa mmoja wa viongozi wa Yanga miaka ya 1940.

Wote hawa Wazulu na Waislam.

Schneider Plantan yeye alikuwa Katibu wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir katika Daawat Islamiyya.

Nakuwekea hapo chini kipande kutoka mswada wa kitabu cha Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism in Tanganyika:''

''My aunt came to see me.
When I narrated the family history she broke down in tears.

My aunt took us to Kwa Likunyi a village where my uncle Kattini Mbuwane lived, this village was some few miles from Nyambane where Sykes Mbuwane had originally settled when the clan trekked north from South Africa.

There I was informed that my uncle had died only some few months back.

All that was left me to do was to go and pay respect to his grave, as is the custom for Muslims.

My uncle had left behind three children, my cousins, Abdallah, Ahmed and Asya.
The family was well to do.

Abdallah the eldest child had his own fishing boat and was therefore financially independent.

Somehow my cousins were not too happy to see me, they thought I had gone there to claim property left behind by uncle Kattini.

They did not believe that after fifty years I, the child of a Zulu who had settled in Tanganyika many years ago would spend so much money to travel all the way from Tanganyika to Mozambique just to visit and get to know an uncle I had not even seen.''

(''Under the Shadow of British Colonialism in Tanganyika The Autobiography of Ally Kleist Sykes,'' As told to Mohamed Said)
 
Back
Top Bottom