Baba Yangu Amebaka Housegirl-Mama Anataka Kuondoka!

Baba Yangu Amebaka Housegirl-Mama Anataka Kuondoka!

Mkuu bwana soma hii" ni wangapi wanabaka! ni wote wanafikishwa mahakamani?" hapo ujapembua vizuri sababu wengine hawashikwi wengine hawana uthubutu wa kusema popote pale na watuhumiwa wanazidi kufanya uhalifu wao
Hapa sijakuellewa kwa kweli ulikuwa una maanisha kitu gani.

Ila mtuhumiwa si muharifu... mpaka atakapotiwa hatiani.... Ndio maana kukawa na vyombo vya sheria.
 
Mkuu wewe ndio Chupaku I mean una ID mbili... just curiosity...! Anyway mimi sioni cha kujadili hapa. Kama wameshindwa kufuata taratibu tangia mwanzo, unategemea kupata suruhisho sasa?

Nambie basi maana uzi unafikia ukurasa wa tano sasa... Suruhisho ni nini?

Kuna mambo hapo juu nimayaeleza, lakini hakuna mtu ambaye ameyazingatia, ila naona watu wanatetea kile wanacho kipenda.

Unaniuliza mimi kuwa watu wajadili mambo yepi.... Siwezi kuwapangia kwa kweli... ila tunatakiwa kuwa na kiyasi katika kuelezea matukio yetu na haswa yanayo husu familia, si kila jambo ni kwenye Tovuti baraza... Mi bado nasisitiza kuwa ni ukosefu wa nidhamu na kukosa heshima na adamu.

Yaani mkeo/mume kakunyima, mbio JF, Baba na Mama wamegombana mbio JF...! Fulani kakukonyeza mbio JF... Mchumba wa zamani kakuudhi basi unaanika aibu yake JF pamoja na picha zake za utupu... Ahhhhhhh!

Mimi sio Chupaku!

Mwisho wa siku inabidi 'agree to disagree'...
Kuna kisa kimoja huko Ulaya, Baba 'alimfungia' binti yake ndani ya nyumba yake miaka ya 80, na akamzalisha watoto kama 8 SOMA HAPA BBC News - German incest father-of-eight Detlef S jailed

Unataka watu kama hawa waendelee kunyamaziwa tu, kisa kutunza heshima..Kumheshimu mzazi hakutakiwi kuwa na mjadala..lakini kuna visa vingine ni balaa..
 
Mimi sio Chupaku!

Mwisho wa siku inabidi 'agree to disagree'...
Kuna kisa kimoja huko Ulaya, Baba 'alimfungia' binti yake ndani ya nyumba yake miaka ya 80, na akamzalisha watoto kama 8 SOMA HAPA BBC News - German incest father-of-eight Detlef S jailed

Unataka watu kama hawa waendelee kunyamaziwa tu, kisa kutunza heshima..Kumheshimu mzazi hakutakiwi kuwa na mjadala..lakini kuna visa vingine ni balaa..
Nasikitika bado ujanielewa mpaka sasa... Na sijui kwa nini unielewi. Icho kisa nakijuwa na kuna kisa kama icho kimetokea miaka hii ya karibuni, vile vile naelewa na nafahamu hathari zake kwa mtendwa.... Ninacho sisitiza mimi ni kuwa kwa herufi kubwa and bold:

WATU WAFUATE TARATIBU ZA KISHERIA NA SIO KULETA MAMBO KWENYE TOVUTI... KILICHO WAFANYA WASHINDWE KWENDA POLISI NI KITU GANI?
 
kwa uzoefu wote wanaobakwa huenda polisi, huwezi kubakwa then ujiulize mara mbili mbili kuhusu kwenda polisi,,,,
 
Kaka pole sana kwa yote yaliyotokea. Unajua shetani anapenda sifa na huwa anajinua na kujiweka kwenye nafasi ambazo hapaswi kukaa. Sasa basi, acheni kutoa lawama tayari kitu kimeshatokea. Nendeni hospitali mkampime huyo binti kama atakuwa ameathirika kiasi gani nikimaanisha (mimba)

Nendeni kwa mchungaji wa kanisa analosali au kama ni msikitini basi muoneni imam apate kutoa ushauri huku mambo mengine yakiendelea kama kawaida. Musihi mama yenu awe muungwana, ameshaona mengi sana katika ujana, hili la uzee ni shetani amepita kuadhirisha ndoa ambazo zimejengwa kwa misingi ya kiroho. kuondoka kwake hakusaidii, acheni kumnyoshea mzee vidole dhambi ni dhambi tu ikishatendeka ni kutubu na kuendelea na utii. Kama Mungu angelipiza au kukumbuka dhambi zetu tunazofanya nahisi tusingekuwa kwenye positioni tulizopo.

Hakuna aliyemkamilifu siku zote (tukisema hatuna dhambi twajidangaya wenyewe).

Nawaombea muwe na amani kwenye kipindi hiki kigumu. Wake zenu wambieni, usionee haya dhambi hata bila kuwambia watajua ni vizuri muwambie tu wasijeyakuta barabarani.
 
Wadau wa JF.
Hiki ni kisa cha ukweli kilichotokea wiki iliyopita. Ninakiandika kwa huzuni sana na aibu kubwa. Nilikuwa safarini na niliporudi nimekuta kesi hii inafukuta ikiwa imetokea kama siku 2 kabla ya mimi kuwasili.
Baba yangu ana umri wa miaka 70 plus. Mama yangu yupo Mid 60s. Ilitokea kwamba wana housegirl wa umri wa miaka 18 hivi toka maeneo ambayo hutoa wasichana wengi wa jinsi hii.
Bila kupamba jambo hili, baba yangu amembaka huyu msichana wakati mama hayupo. Msichana alitaka kwenda kushitaki polisi ila aliombwa sana na ndugu zangu asifanye hivyo.
Jambo hili limeleta vurugu kubwa sana nyumbani. Hakuna anayetaka kungea na mzee na mama amesema anafunga mizigo yake arudi kwao (at that age?). Watoto tumebaki tunashangaa hatujui la kufanya maana wale ni wazazi wetu na tunaona aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo). Pia watu wa dini unaanzaje kuwaelezea? Tunajiuliza kama huyo binti amepata ujauzito je? Kama akiamua kushitaki polisi je?
Yani sijawahi kupata fedheha kama hii. Hata sisi kwa sisi hatutaki kulizungumzia jambo hili.
Tumsaidieje mama?
Tuokoeje ndoa yao? Mzee hataki kukaa nyumbani safari za hapa na pale haziishi!
Tumsaidieje yule binti wa watu na trauma hiyo?
Naombeni msaada, bila matusi tafadhali. Mbakaji akiwa mbali rahisi kusema - afungwe, ila baba yako unasemaje?

MWAMBIE MAMA KAMA ALIOLEWA NDOA YA KIKRISTO KUNA KIPENGELE CHA SHIDA NA RAHA NA HIZO NDIO SHIDA ZENYEWE MBAYA ZAIDI KUNA KINGINE AWAACHANI MPAKA KIFO KIWATENGANISHE MJULISHE MAMA HUO MZIGO WAKE AUSAMAHEH TU NA KUUJALI KAMA KAWA ELSE SHIDA NI KWENU AKUNA ALIE SAWA MBAYA KAMA DINGI UMSHAURI KIDUME AKAPIME NGOMA ITAKUWA POA MAANA VIBINTI VYA SIKUHIZI MIAKA HIYO VISHAARIBIWA NA PENGINE AKIJABAKWA DINGI ALIAHIDI ALIPOMALIZA MCHEZO AKAKOMAA KUTOA FARANGA AKAMZUSHHIA KAMBAKA...SO LA KUMSAIDIA MZA KUDA HUU AKOMAE AMNYIME ILE MAMBO YETU MPAAKA MSURE AKAPIME NGOMA ASIJE KAONDOA KA BIIBI CHA WATU NA UZURI WAKE KA KAGONJWA CHA UJANA AKU HIYO SIKUBALI MWAMBIE AKIWEZA ALALE NA PAMPAS KABISA NA AKILAZIMISHA APIGE KELELE ANABAKWA KAMA MNA CHUMBA KINGINE NI KUMTENGA HUYO MZEE MWACHE CHUMBA CHAKE MPAKA AKAPIME AKIKUTA BOMBA SUBIRI MIEZI 3 AKAPIME TENA BAADA YA HAPO SWALI KAMA ALIPEWA MAMA AKIONDOKA TENA ATAACHA KULA URODA HIYO NDIO NDOAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Bwanaaaaaaaa aweeeeeee nanyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii awe pia na daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaddddddddddddyyyyyyyyyyyy

somo la kwanza
 
muulizeni msure vizuri asije akawa alioteshwa hako kabinti kama babu ambilikile @@@
 
This is pity! But you know what? They say that life begins at 45! If it is true, mdingi is just 25 years old !!! tehe tehe tehe
 
Housegirl kaondoka ila tunazo contacts zake bado. Hivi babu wa hivyo unaweza hata kumuacha na mjukuu kweli? AArrrgggghhh

Kwa kweli itakuwa ngumu sana, babu wa hivyo kumwacha na mjukuu, maana huyo aliyebakwa ni mjukuu vile vile. Poleni wanafamilia. Jitahidini kumshauri mama hasiondoke, maana umri huo aende kwao kufanya nini? Sana sana ndo atazidisha mawazo ya kwa nini baba chupaku kanifanyia hivi, maana upweke mbaya jamani kha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwanza kabisa naweza kusema wewe mtoa mada hii ebu niangalie jina lako kwanza... Ooh Chupaku, HUNA ADABU hata kidogo tena naweza kusema umemkosea adabu Mzee wako (I mean Baba yako Mzazi), napata wasi wasi kama huyo uliye muelezea hapa ni baba yako kweli au ni baba wa kambo au wa Kufikia.

Haiwezekani jambo kama ili la kifamilia mshindwe kulizungumzia uko uko nyinyi kwa nyinyi, mpaka ulilete hapa hadharani, kwani unafikiria watu hawakujui wewe Chupaku ni nani? Nikiangalia IP tu hapa najuwa unaandika kutokea wapi na unatumia mtandao gani.

Hivi uko kwenu ukufunzwa adabu na heshima? Ukuambiwa kuwa mambo yanayo husu familia huwa yanatatuliwa kifamimilia!? Hakuna wazee kwenye ukoo wenu, au mzee aliye baki hai ni Baba na Mama Chupaku tu!?

Siku mkeo akikunyima unyumba pia utaleta humu JF ili kupata ushauri? Grow up my friend, this is not funny.

Alafu unadai eti nanukuu "...aibu hata ku-share na spouses wetu (tunaogopa kumbe nyiye ndivyo mlivyo)...."

Sasa unataka kosa la mtu mmoja kuhumiwa ukoo mzima, unacho kiogopa kuongea na wake zenu nini na unacho kifanya hapa ni nini.

Yaani hapa unataka kudhihirisha kuwa wewe unamini watu walioko JF kuliko spouses wenu, familia yako wewe na ndugu zako na hata wazee wa Ukoo wanu.

Maybe you better think twice next time my friend before you just post mambo ya kifamilia.

X-PASTER!! Punguza hasira kidogo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mambo ya familia yanamalizwa kifamilia. Kaeni kifamilia myazungumze. Cha msingi kama mmoja alivyoshuri, kampimeni huyo binti kama ni mjamzito au kama ameathirika. Kama hana tatizo, basi mumsihi mambo yaishe kwani suala hili likipelekwa kisheria, baba atafia jela
 
Tunashindwa kushauri mzee ashitakiwe kwa kumhurumia lakini tunapaswa tumfikirie na huyo bint,hata kama hana mimba wala ugonjwa wa zinaa lakini kama haikuwa ridhaa yake itamuathiri tu. Mama asiondoke ila mzee mtimueni for sometime na mtakapomruhusu kurudi mama aamue ku share nae room au la. Ndio the least punishment ninayoifikiria kwa sasa. Poleni sana.
 
Mambo ya familia yanamalizwa kifamilia. Kaeni kifamilia myazungumze. Cha msingi kama mmoja alivyoshuri, kampimeni huyo binti kama ni mjamzito au kama ameathirika. Kama hana tatizo, basi mumsihi mambo yaishe kwani suala hili likipelekwa kisheria, baba atafia jela
Lol watu wanamfeva mzee tu, ambae umri wake umesha na sasa hivi anamkopa Mungu, wamesahau kabisa kuhusu huyu binti ambae bado anadai miaka kama hamsini hivi! huyu mzee ni wa kufunga tu hakuna cha kumfichia siri
 
Mie namuhurumia huyo mtoto housegal kwa kuaribiwa maisha na mzee wa miaka 70. Mie ningemchukia baba angu daima, na hasinge niona kwake, maana hata mtoto wangu angembaka, baba shenziiiii. Kuna wazee wengine akili zao fupi ubaka hadi wajukuu zao. Na je akikubakia wanao utaona aibu kuone au kumshitaki. Mie ningemshauri Housegal akamshtaki huyo mzee, ili haki iwe sawa. Mzee amuombe samahani huyo mtoto, na kumlipa fidia. Maana hata huyo mtoto ameumia sana, hata sumu anaweza kumtilia huyo mzee. Na kama kawaambia jamaa zake, kaka zake nk, HAPO SISTER kuna mengi machungu, pole kwa hilo. Housegal apozwe na mama apozwe, baba aombe msamaha na lipe fidia,
 
Mimi sina utaalamu lakini nina ushuri huu. kwanza tatueni tatizo la huyo HG tatizo la uhusianowa mama na baba linaweza kutatuliwa tu hata baada ya mwaka bila madhara makubwa.

Tanzania kuna kuwa uhaba wa social services na pschologist. Bila hivyo baba mama na huyo HG na hata nyie watoto mnatakiwa kuudhuria shule za wanasaikolojia ili wawaweke sawa baaada ya dhahama hiyo. so kama mnao uwezo tafute wataalamu wa hizo fani.

Wakati hayo yaiendelea tafuteni mwanasheria ambaye mtampa kisa chote bila kuwa na upendeleo wa baba . Mwanasheia awapakupe options zote possible outcome kufanya.

  • Among the options inaweza kuhitajika HG alipwe fidia.the earlier the better.
Wakati huo huo mtafutieni huyo HG maisha nje ya u HG . mpaka sasa itabii muivest zaidi kumatfutia ajira au elimu nyingine itayomuwezesha kuendelea kushi dar kama akimua kurudi kwao arudi si kwa sababu kibarua chake kimeta nyasi. For me hata kama amelipwa fidia hii iwe kama pole na aksante yenu kwa yeye kutokwenda polisi

Wanaosema kwenda polisi hawajui damu ni nzito kuliko maji. Na kwenda polisi haki inaweza kutendeka lakini haitasolve problem ya yeyote yule. iwe ni aliyebakwa mama ,baba watoto au familia

Best option ni kuwaona wanasheria kwanza kusikia wanasemaje.
 
Huyu mzee hajafungwa tu bado? na mtoto mwenyewe mbona kaingia mitini? tupe feedback
 
Pole sana chupaku..
Huyu mzee kapotoka sana, mh ni ngoma mbichi
Mshaurini baba amuombe msamaha mkewe na mama amsamehekama ni kosa la kwanza.
Ibaki kesi kwa huyo binti ampeleke polisi mzee!
Hili kosa si la kufumbia macho ni kosa la kshtakiwa
 
Nasikitika bado ujanielewa mpaka sasa... Na sijui kwa nini unielewi. Icho kisa nakijuwa na kuna kisa kama icho kimetokea miaka hii ya karibuni, vile vile naelewa na nafahamu hathari zake kwa mtendwa.... Ninacho sisitiza mimi ni kuwa kwa herufi kubwa and bold:

WATU WAFUATE TARATIBU ZA KISHERIA NA SIO KULETA MAMBO KWENYE TOVUTI... KILICHO WAFANYA WASHINDWE KWENDA POLISI NI KITU GANI?


Unaongea mara waende kwa wazee, kisha unasema waende polisi. Kwahiyo unataka nikafungue kesi? You are just bluffing. Ila sishangai msimamo wako ktk maswala haya nauelewa sana
 
Back
Top Bottom