Kuna watu hawaelewagi nyuzi za huyu jamaa, someni kwa IQ kubwa mtamuelewa nyuzi zake
Mnaokaa kumponda mnakosea, huyu hayuko hivo asilimia zote kuna ujumbe anaufikisha ila mnashindwa kuung'amua
Useless kabisaaDegree holder
Mimi siafiki. Huyu atakuwa TB kabisa.Mkuu kweli wewe ni kikohozi kama jina lako.
Mwambie slow slow akutafutie pa kukaa maana wewe ni kada mtiifu, hivi ccm huwa mna akili kweli, yani mfia chama hata pa kukaa huna???
Kijana mdogo kama wewe akili zimezorota kwa sababu ya kuwa mwanaccm
Ni 0828 au 38!!!!!!