"Baba Yenu anaumwa kichwa, nendeni mkacheze nje"

Watoto wakisasa wanadinyana kuwaliko hata wazazi wao.
Kipya ni kipi???๐Ÿ˜‚
 
Kitu pekee wanachotafakar kwanini wao wakifanya hawatokei watoto
Aiseeee.

Dunia hii ni imeharibika sana. Hata hizo bikra zenyewe ni za kutafuta kwa tochi.

HAlafu hao hao ndo wanaenda kuwa masisita.

Aiseeeeee๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Ila kuna baadhi ya watoto huwa wanashuhudia mechi. kuna siku nilienda sehemu kumsalimia rafiki yangu wa zamani sana, anakatoto kadogo around 3 years kakiume. sasa tumekaa kameona wageni michezo mingi, sasa kakaenda kwenye angle ya sofa kakawa kapiga pump mithiri kamkunja manzi doggie. nilivyokaangalia kakacheka, mi ikabidi nizuge na simu. mama yake akaenda kumchapa nje huko
 
Baba yako alifaidi sana mkuu๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ