"Baba Yenu anaumwa kichwa, nendeni mkacheze nje"

"Baba Yenu anaumwa kichwa, nendeni mkacheze nje"

Yaani kama hauna mtu wa kukupa🍑 lazima telegram iwe rafiki yako kwa usiku wa leo
Aaaagh aaagh😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌kaka wewe muhuni.
Umejuaje kama telegram kuna kina amina kishuzi😂😂😂😂😂!?
 
Kipindi tukiwa watoto, baba unakuta amesafiri kaenda shamba wiki mbili au tatu, akirudi unaona mama kapika ugali-kuku na maziwa ya mgando ,mchicha pembeni na pilipili kichaa[mwendokasi]

Asubuhi tunatumwa sokoni kuandaa karanga mbichi na mbata, alafu mama anasema baba yenu anakuja leo.
Basi wote tunafurahi baba anarudi, khee, akija anaenda kuoga, anatusalimia , tunamrukia rukia anatupa zawadi ya maembe sindano/kunyonya, dodo na mapera alafu unaskia mama anasema "
msimsumbue baba yenu anaumwa kichwa, anaenda kulala , msimsumbue, leo nawapa rukhsa mkacheze kwa mama Mwakitobo ila msiumizane"

SWALI : Hii mbinu wazazi wa kisasa mnaitumia?
View attachment 3095178
Watoto wa kisasa nao vichwa nazi...watarudi kupiga chabo.
 
Back
Top Bottom