"Baba Yenu anaumwa kichwa, nendeni mkacheze nje"

"Baba Yenu anaumwa kichwa, nendeni mkacheze nje"

Kuna Askari huwa anafanyia ngono jikoni

Maana Ana chumba kimoja ndo sebure na ndo cha kulala na yupo na watoto.

So huwa anavizia jikoni tukimaliza kupika
 
😂😂😂😂😂 We mwanamke una hatareee, nazipenda maada zako.

anyway kuna mtu kanitapeli laki 5 naomba nisaidie niipate mheshimiwa hakimu.
 
Kuna Askari huwa anafanyia ngono jikoni

Maana Ana chumba kimoja ndo sebure na ndo cha kulala na yupo na watoto.

So huwa anavizia jikoni tukimaliza kupika
Huu ujenzi ndio unawafanya wanakuwa na hasira na raia?
Ina maana inakuwa anaomna Mungu apangiwe shift ya usiku na asubuji ale mzigo watoto wakiwa shule.
 
Back
Top Bottom