DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ishara gani hizo? Utakuwa mzazi wa hovyo sana kama ni kweli.Vitoto vya sikuhizi ni vielewa siyo lazma utumie mbinu nyingi....vikiona ishara za hatari tu vinaenda nje
Yaah kweli vichwa vipo viwili.!Baada ya kuwa mkubwa, ndo nikajua baba alikua anaumwa kichwa kweli......
Woi ukose pesa na nyege pia?Nyege mnatoa wapi wenzangu na maisha haya??
Maana hata baba ya watoto wako anaumwa kichwa kweli kweli wakikua watajuaBaada ya kuwa mkubwa, ndo nikajua baba alikua anaumwa kichwa kweli......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vitoto vya sikuhizi ni vielewa siyo lazma utumie mbinu nyingi....vikiona ishara za hatari tu vinaenda nje
Huu ujenzi ndio unawafanya wanakuwa na hasira na raia?Kuna Askari huwa anafanyia ngono jikoni
Maana Ana chumba kimoja ndo sebure na ndo cha kulala na yupo na watoto.
So huwa anavizia jikoni tukimaliza kupika
ha ha ha ha ha , duh wewe ndio maaana ulichelewesha mdogo wako.Hivyo vitoto vinakuwa havitaki wadogo zao
Wanataka wadogo zao sema wanajua watoto wana nunuliwa hospitali kama nyie mlivyo aminishwa.Hivyo vitoto vinakuwa havitaki wadogo zao