Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wauze nyie inawahusu nini maana mnataka kudhulumiana hapaUkisema hivo tukiwaachia kiwanja wakauza alafu mwisho wasiku wakaja kuomba hifadhi huku kwetu itakuwaje ?
Maana bado wadogo sana na tukiwakubalia wauze lkn huku kwetu wasahau kabisa itawekana ?
Pia tambua baba yetu wakati anaoa mke wa pili chanzo kilianzia kwetu unalitambua hilo ?
Kama wanauza huko walikozaliwa wao waa che alimradi wasije upande wenu kutaka wauze nakoSina uchungu ninachotamani nikuona mali za mzee zikiendelea kuendelezwa nasiyo kuuzwa .
Upande wetu hatuna shida hatuwezi kuingia kwenye vita .Mnahangaika hivyo kwa sababu kama familia hamkutaka kuelewana kabla ya kwenda mahakamani huko.
Mirathi ni kitu kibaya sana unaweza kuzeeka unasumbuka na kesi ya mirathi na ukatumia gharama kubwa kuliko value ya kile unachokitafuta.
Mirathi lazima mkubaliane nyumbani tu vinginevyo endless kesi zisizo na maana zitawapotezea muda wa kufanya mambo mengine mwisho mnaishia kulogana na kukatana mapanga.
Mirathi watu hugeukana na kuzulumiana so na hao watoto wajiandae kwa lolote tu,Ukikaa kwenye nafasi ya huyu bwana, huwezi kufikiri hivi aisee. Najua anayopitia, tuna kesi ya namna hii iko mahakamani tangu 2015, hukumu inatoka, inapingwa, inatoka, inapingwa, mnasogezwa juu na juu zaidi, wapi! Watu wanaanza kupoteza maisha, mvurugano moja kwa yote.
Na bora hawa kwamba mali za baba alizochuma na mama wote. Watu wanagombea mpaka maeneo ya mke mkubwa ambayo alipewa na wazazi wake kabla ya ndoa, mke mdogo na watoto wake wanayataka hayo pia!
Mtoa mada, kuna vyeti vya ndoa kwa wake wote wawili? Wakati wapili anaolewa, zipi ni mali zilikuwepo? Na zipi ni mali zilizokuja baada ya ndoa ya pili?
Kulikuwa na maelewano mazuri baina ya watoto wote kabla ya mzee kufa?
Choreni mstari, kuna wakati haya mambo myamalize kindugu, kijamaa na kijamii, mahakama haziondoi kila mgogoro na zaidi zinavunja vingi!
Mwisho wa siku, kila kitu kinatafuta na kama kiko kwenye mkondo wako kitakuja tu! Kisicho ridhiki hakiriki.
Mkuu poleni sana, ila mahakama inasimamia tu mgawanyo kisheria, huwa haishughuliki na migogoro/chuki zitakazotokea.Ukikaa kwenye nafasi ya huyu bwana, huwezi kufikiri hivi aisee. Najua anayopitia, tuna kesi ya namna hii iko mahakamani tangu 2015, hukumu inatoka, inapingwa, inatoka, inapingwa, mnasogezwa juu na juu zaidi, wapi! Watu wanaanza kupoteza maisha, mvurugano moja kwa yote.
Na bora hawa kwamba mali za baba alizochuma na mama wote. Watu wanagombea mpaka maeneo ya mke mkubwa ambayo alipewa na wazazi wake kabla ya ndoa, mke mdogo na watoto wake wanayataka hayo pia!
Mtoa mada, kuna vyeti vya ndoa kwa wake wote wawili? Wakati wapili anaolewa, zipi ni mali zilikuwepo? Na zipi ni mali zilizokuja baada ya ndoa ya pili?
Kulikuwa na maelewano mazuri baina ya watoto wote kabla ya mzee kufa?
Choreni mstari, kuna wakati haya mambo myamalize kindugu, kijamaa na kijamii, mahakama haziondoi kila mgogoro na zaidi zinavunja vingi!
Mwisho wa siku, kila kitu kinatafuta na kama kiko kwenye mkondo wako kitakuja tu! Kisicho ridhiki hakiriki.
Mzizi ni baba, yeye anahusika na watoto wote. Kugawa mali kwa mujibu wa ndoa sijui imekaaje ila nadhani inapaswa kubadilika.Mzee wangu alimuoa mama yangu kimila hivyo hakuna cheti cha ndoa ila kwa mke wa pili alifunga ndoa.
Kwa mke wa kwanza alikuwa tayari amejenga nyumba kubwa na ndogo .
Pamoja na viwanja vitatu .
Alipooa mke wa pili alinunua kiwanja vile vile na akajenga nyumba moja na msingi mmoja wa nyumba.
Pia sisi tulikuwa tunawatembelea wadogo zetu lkn wao kuja ilikuwa kwa msimu maana mama yao hakutaka watutembelee .
Hilo ndio sharti mnalotakiwa kuwapa kabla hawajauza ili wakae wakijua hiloNdiyo na wasije kukaa huku tena watafute hifadhi tofauti na huku kijijini .
Hayo yote mtayamaliza kwa consensus na siyo legal battle mahakamani itawapotezea muda tu.Upande wetu hatuna shida hatuwezi kuingia kwenye vita .
Mimi nachosema wakitaka kuuza mali ya kule mjini wauze lakini kwa masharti haya..
Asiwepo wakuja kukaa kwenye nyumba aliyojenga baba yangu pindi yupo na mama yangu mzazi na wakiuza kule wasijihesabu huku tena maana watakuwa wameweka utengano , lakini wakiweka ushirikiano kwamba mali zote zibakie salama asiwepo wakuuza itapendeza .
Mkuu hatuko hivo , sisi vijana wakubwa wa marehemu kila mtu ana maisha yake wala hakuna mwenye tamaa na mali alizoacha mzee maana hata huku kijijini alijenga vzr sana kuliko hata mjini .Mirathi watu hugeukana na kuzulumiana so na hao watoto wajiandae kwa lolote tu,
Ww una umri gani?Historia kwa ufupi.
Mzee wangu alioa mke wa kwanza na alikuwa amejenga nyumba kubwa na ndogo na akabahatika kuzaa nae watoto wanne wote wakiume (04).
Baada ya hapo waliaachana na mama yangu mzazi kwa sababu mama yangu aliugua sana akamtibisha bila kupata auhueni.
Ilipofika mwaka 2002 alioa mke wapili wakaishi nae hapa kijijini kwetu kwa muda mfupi na baada ya hapo walihamia mjini na huko mjini waliondoka tayari mtoto wakwanza akiwa ashazaliwa tayari , walipoenda mjini walinunua kiwanja na kubahatika kuzaa nae watoto sita (6)wote kwa ujumla upande wa mama mdogo, wakike wanne (04) na wakiume wawili (02).
Huko mjini walinunua kiwanja na wakajenga nyumba ya kuishi , pia wkt wa uhai wao walijenga msingi wa nyumba kubwana ipo mjini katikati .
Ilipofika tarehe 13.07.2021 nilipata taarifa baba yangu katangulia mbele za haki kwa ajali ya moto na mama mdogo pia yuko khali mbaya sana naye ilipofika tarehe 17.07.2021 akafariki pia.
Kibaya zaidi mzee wangu hakuacha usia wa aina yoyote.
Pia wakati tumeweka majadiliano ya kuwalea watoto wadogo waliobakia tulisema shina la watoto wote wa marehemu ni hapa kijijini.
Je wale watoto wa Ma. Mdogo wana uwezo wakusema kiwanja cha kule mjini kiuzwe kwa ajili ya kuwasaidia? Na Je wakiuza wanaruhusiwa kuja kwenye nyumba aliyojenga baba yetu kijijini enzi yupo na mke wa kwanza ?
Pia naombeni ushauri wenu wakisheria zaidi.
Mkuu swala la watoto kusom tushasema tutampana nao na watasoma kama sisi tulivyosoma hata kama ni kwa shida na raha watasoma kikubwa Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yetu .Mzizi ni baba, yeye anahusika na watoto wote. Kugawa mali kwa mujibu wa ndoa sijui imekaaje ila nadhani inapaswa kubadilika.
Kijijini ndio chimbuko lilipo, kama wa kwa mke mdogo wanaendelea kujitambua kwa ubini wai, basi kijijini ni kwao pia na nyumba ya baba yao ndio kwao haswa.
Mila nyingi, nyumba/eneo litakalotumika kutambulisha ubini wenu, huwa linarithishwa kwa mtoto wa kwanza wa kiume au wa mwisho wa kiume, na kila mtu anakuwa na access ya kufikia hapo!
Kwa minajiri hiyo, wekeni mali zote mezani, nyumba ya wote itakayokuwa kijijini iachwe kuwa ya wote, zilizobaki bila kujalj zilichumwa wakati gani, zigawanywe kwa kuzingatia utegemezi wa watoto, mdogo zaidi na kama yuko shule anapata kwa asilimia kubwa zaidi ya wengine ili imsaidie na yeye kusogea.
Kisha kama kuna kwere, basi taratibu za kikwere kwere ziendelee.
Sababu kuna wanasheria wabinafsi sana, watakupotezea hela na muda.Kama baba yako na mama yako waliachana kwa talaka manake mali za mjini hazimhusu kaka hawakuachana kwa talaka nadhani kuna majadiliano ila hili jambo linahitaji mwanasheria chukua hela uende kwa mwanasheria ukapate ushauri wa kitaalam nenda kwa wanasheria hata wawili tofauti tofauti ili uwe na uhakika
Kweli mkuu ila nilitamani kuona mali zote alizoacha mzee wangu zikiendelea kusalia mikononi mwa wanao. Maana km ni pesa huwa inaisha ila mali kama kiwanja haiishiHayo yote mtayamaliza kwa consensus na siyo legal battle mahakamani itawapotezea muda tu.
Go talk to your kinsmen mtaelewana tu hakuna kinachoshindikana kwenye mazungumzo.
Ushauri Msiuze Kitu Chochote Kwanza. Muwe na mpango mzuri kabisa wa kuwasaidia. Kama ww ni kaka mkubwa, tafuta ndg wa karibu mwenye hekima, haki, na mwaminifu sana akusaidie.Mkuu swala la watoto kusom tushasema tutampana nao na watasoma kama sisi tulivyosoma hata kama ni kwa shida na raha watasoma kikubwa Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yetu .
Nimesoma kufikia level fulani na natamani wadogo wangu nao wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao.
Ila hatua ya kwanza, ni kujua mahitaji ya watoto hao, ni hela kiasi gani inahitajika, na mambo ya kuuza ni baadaye tena Muuze Kwa Bei ya FAIDA na sio ya hasara.Mkuu swala la watoto kusom tushasema tutampana nao na watasoma kama sisi tulivyosoma hata kama ni kwa shida na raha watasoma kikubwa Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yetu .
Nimesoma kufikia level fulani na natamani wadogo wangu nao wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao.
Una umri mzuri tu kuwasaidia vizuri. Kumbuka penye hela mikono mingi itawekwa.. Pia Nenda Mahakama na ww upewe Haki za kusimamia Mali. Na USIOGOPE KUWA MKALI UKIONA MTU ANALETA UROHO KWENYE MALI NA HELA ZISIZOMHUSU.Umri wangu ni miaka 27 .
Hayo yote mtakubaliana nyumbani na hili linahitaji ushauri wa kisheria?Kweli mkuu ila nilitamani kuona mali zote alizoacha mzee wangu zikiendelea kusalia mikononi mwa wanao. Maana km ni pesa huwa inaisha ila mali kama kiwanja haiishi