Babati kila MWANAMKE ni mzuri ndugu zangu njooni muoe huku

Mabinti weupe sana
Wana mashape hatari
Wembamba hawana vitambi kama wale wa mbeya na Dar es salaam

Wachapakazi wapole nk
Hapa ni babati mjini naimani vijijini huko kuna mabinti warembo na bikra za kutosha
Kama tafsiri ya "uzuri" ubongo wako unatafsiri kuwa ni watu wenye rangi nyeupe basi usidhani ni wote , wengine tuliona hata mwanamke amepaka mkorogo au make up awe mweupe habari unaishia hapo hapo ni kichefuchefu kwenda mbele. watu tunapenda ngozi nyeusi tiii chichu saa sita
 
Utamjuaje MWANAMKE mwenye akili?
Utamjua kupitia financial discipline yake, hana mawazo ya nipe hela kila siku, badala yake huwa ana mawazo ya tupige hatua gani kiuchumi.

Ukiona unachati na mwanamke ambaye kila mkiongea anawaza kesho yenu itakuwaje kifedha na jinsi ya kuwekeza, huyo usimwache, ana akili kubwa sana kichwani mwake, hawa wa kuwaza chips kuku na viwanja vya starehe kila wikiend waachie watoto wadogo.
 
Kila mtu ana kilevi chake
Binafsi mimi ni mweusi tiiii siwezi tena kutafuta MWANAMKE mweusi tiiiiiii natafuta mwanamke mweupe peeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Upo sahihi sana kaka.
Nina MWANAMKE ambae naona kabisa akili yake ni ndogo anahitaji sana kuelekezwa ana 20 years now,

Ukweli akikosea kitu, ukamuelekeza tena basi harudii ila ukweli akili yako inahitajika maelekezo

Ila haombi pesa
Mpole
Anapenda ndugu.
Yuko tayari kubadilisha dini
Msafi
Hajui kupika ila kila siku ana improve

Je huyu anaweza kuwa wife material au ndio ule msemo kwamba huwezi kubadilisha tabia ya mwanamke
 
Umenena vizuri mkuu. Mimi naamini mwanamke wa kujenga anaonekana zaidi kwenye mindset yake kuliko kwenye maneno. Sio lazima awe na pesa nyingi, muhimu awe na uwezo wa kufikiria mbele na kuelewa kwamba maisha hayajengwi kwa starehe za leo pekee. Ukipata mtu ambaye mnaweza kukaa chini mkazungumzia mipango, biashara, uwekezaji na namna ya kusonga mbele badala ya matumizi tu, huyo ni mtu wa kuthamini sana. Tatizo ni kwamba watu wa aina hiyo ni wachache sana.
 
Mkuu, huyo binti bado ni mdogo sana kiumri na anakosa tu uzoefu wa maisha sio kwamba ana akili ndogo, huo ni upepo wa ujana unaomsumbu kwa sasa, pointi kubwa hapa ni kwamba akikosea ukamuelekeza anakuelewa na habadiliki, hii unatakiwa kulizingatia sana.

Wanawake wengi wa sasa ni ngumu kumkosoa akakusikiliza na akabadilika, wengi vichwa ngumu lakini huyo wako anarekebishika, haombi hela, na anapenda ndugu zako, Kaka, huyo ni wife material kwa asilimia kubwa, tabia huwa haibadiliki kwa mtu asiyetaka kuelewa, lakini kwa mtu anayeonyesha improvement kila siku kama huyo kwenye kupika, huyo anabadilika kwa uzuri. Mlee vizuri kulingana na mfumo unaoutaka wewe, itakusaidia sana.
 
Sahihi kabisa mkuu.
 
Wanatembea bila kuvaa vimwanandani/chupi.Yaani wanatembea kichele.Hot-pants.
Kaka Hii comment naisave nait
Mkuu ahsante sana, umetumia muda na akili kubwa kunipa faraja mwanaume mwenzio hakika nimekuelewa na nitafanyia kazi nilitaka kumuacha nikiwa nahisi ajielewi
 
Kaka moja ya message yake ni hii
 

Attachments

  • IMG_20260809_144131.jpg
    87.3 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…