Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Tuko pamoja Mkuu, mvumilie na mpe uongozi mzuri, utapata mke bora sana hapo baadae. Usiache chuma hicho!Kaka Hii comment naisave nait
Mkuu ahsante sana, umetumia muda na akili kubwa kunipa faraja mwanaume mwenzio hakika nimekuelewa na nitafanyia kazi nilitaka kumuacha nikiwa nahisi ajielewi