Babati kila MWANAMKE ni mzuri ndugu zangu njooni muoe huku

Ukimpata bikra hata mmoja tu nidai 'milioni tano' yako.
Usinichekeshe. 🤭

Me mke nimekuta wahuni washafanya yao.! ni siwazi😎

Sema kwa dunia hii vijana wapunguze greed ya wivu ili kusavaiv

Ni kama kauli ya kiupinde kwa wenye mlengo(kwa wale wakuona wameibeba dunia.!)

Dunia hii iko nje ya mstari wa kujinusuru.! Na sisi ni wa husika. ⛱️
 
Unajua sisi wazee wa mwaka 47 hatuna wivu wa kimapenzi. Nashangaa vijana wanavyopambana na kutafuta bikra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…