No inawezekana anapeleka moto vizuri tu..Shida ya kubeba vibinti vidogo na tochi imeisha betri.....utasaidiwa tu
Ni kweli...but umpate huyo sasa, kazi ipo hapoWeeee unaachaje kutaka, ajali kazini hii
Aliyefumania kwa muktadha huu hatakiwi kufungwa. Adhabu yake haitakiwi kuwa kubwa. It’s the reality.Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22)...
Sahihi, kudate na under age ni risk, na hii ina apply kwa jinsia zote ila balaa kubwa liko kwenu nyie ke. Kuhusu true love kuwa inaendana na age na kwamba umri zikiwa tofauti some how true love inakuepo sidhani.No inawezekana anapeleka moto vizuri tu..
Ila tamaa za hao wazinzi ..
Binafsi niko kwenye age ya primary kijana but sipendi uhusiano na the same age coz huwa wana mambo ya kingese sana...
Ila hapo alipo mkata mkono wife wake pameni huzunisha he goes extremely mad!! Duhh.Ni kweli...but umpate huyo sasa, kazi ipo hapo
Aliweka mtego kivipi?Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
Wakili watamtetea, wakati akiwakata mapanga, alikuwa na akili timamu au iliyojaa na kufunikwa na hasira?! ..Jeshi la Polisi Mkoani Manyara, linamshikilia Samwel Alfred (48), mkazi wa Kijiji cha Magara wilayani hapa kwa tuhuma za kumuua Michael Jackson (25) baada ya kumfumania akizini na mke wake, Habiba Saidi (22)...
Hapana mkuu mi naona utofauti kabisa...ngoja nikupe kisa cha my blood dadaangu.Sahihi, kudate na under age ni risk, na hii ina apply kwa jinsia zote ila balaa kubwa liko kwenu nyie ke. Kuhusu true love kuwa inaendana na age na kwamba umri zikiwa tofauti some how true love inakuepo sidhani.
Wako watu wana pretend kushow love na wako na umri kuwazidi wenzi wao love is complicated rafiki.
Inshu sio wakili mzuri hapo!!lazima atachezea mvua tu, unafuu wake labda iangukie kwenye kuua bila kukusudia, japo nako atafungwa tu miaka kadhaa, kuliko kwenye kunyongwa/maisha!!eti hakuna kesi!!!!hata uwakusanye kina KIBATARA MIA MOJA!!Akipata wakili mzuri hapo hakuna kesi.
Wanaume wanajionaga wana haki sanaIla hapo alipo mkata mkono wife wake pameni huzunisha he goes extremely mad!! Duhh.
Of koz atafungwa ila kama wakili ataweza kumpunguzia jamaa miaka ndipo uzuri wake utapoonekanaInshu sio wakili mzuri hapo!!lazima atachezea mvua tu, unafuu wake labda iangukie kwenye kuua bila kukusudia, japo nako atafungwa tu miaka kadhaa, kuliko kwenye kunyongwa/maisha!!eti hakuna kesi!!!!hata uwakusanye kina KIBATARA MIA MOJA!!
Hiyo huwezi ukasema ndio sababu kubwa!!wangapi wanaoa wanawake wakubwa zaidi yao lakini wanawafumania?kweny jamii yetu mbona kila leo tunashuhudia wake za watu tena wengine wana wajukuu lakini wanafumaniwa?!!Tatizo la kuowa vibinti vidogo tofauti ya umri ilikuwa kubwa
Ila huwa ni ujinga tu!!japo inauma sana lakini lazima ufikirie*2 hili ninaloenda kulifanya matokeo yake ni nini?mfano jamaa anachezea miaka 20, jela, huyo mwanamke lazima tu ataenda kuolewa na jamaa mwingine!!hapo nani mjanja!!ukishaamua ujinga huo basi ni bora na wewe tu ujimalize, mkose woteee!!!Of koz atafungwa ila kama wakili ataweza kumpunguzia jamaa miaka ndipo uzuri wake utapoonekana
Na inaonekana panga lilinolewa kabisa. Pigo moja mkono chini! Msinsi anamtetea msinsi! Tufwile banyambala!!Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
Na mkono mmoja!?Ila huwa ni ujinga tu!!japo inauma sana lakini lazima ufikirie*2 hili ninaloenda kulifanya matokeo yake ni nini?mfano jamaa anachezea miaka 20, jela, huyo mwanamke lazima tu ataenda kuolewa na jamaa mwingine!!hapo nani mjanja!!ukishaamua ujinga huo basi ni bora na wewe tu ujimalize, mkose woteee!!!
Dah mzee tusiseme sana hatujui sisi tungevaa viati vya jamaa tumetoka kwenye kuni na tuna panga mkononi halafu tunarudi nyumbani tunakuta hivyo tungefanyajeIla huwa ni ujinga tu!!japo inauma sana lakini lazima ufikirie*2 hili ninaloenda kulifanya matokeo yake ni nini?mfano jamaa anachezea miaka 20, jela, huyo mwanamke lazima tu ataenda kuolewa na jamaa mwingine!!hapo nani mjanja!!ukishaamua ujinga huo basi ni bora na wewe tu ujimalize, mkose woteee!!!
Huyo jamaa hana tofauti na sokweIla hapo alipo mkata mkono wife wake pameni huzunisha he goes extremely mad!! Duhh.
Ameua mtu mmoja na kumjeruhi mwingine vibaya, hatakiwi kurudi uraiani tena.Aliyefumania kwa muktadha huu hatakiwi kufungwa. Adhabu yake haitakiwi kuwa kubwa. It’s the reality.
Hakuna wakili mzuri ataenda kupoteza muda wake kwenye kesi ya huyo mpumbavu.Akipata wakili mzuri hapo hakuna kesi.