MoSantu
Senior Member
- Feb 26, 2022
- 173
- 167
Habari za majukumu wadau?
Natumai mpo shwari.
Kama title inavyoonekana, jamani naombeni muongozo kati ya Babati town na Dodoma ipi sehemu nzuri ya kufanya biashara ndogo ndogo na penye unafuu wa maisha?
Kuhusu biashara ni yoyote ile naangalia fursa kwenye eneo.
Karibuni kwa maoni, ushauri.