Babati town na Dodoma ipi sehemu nzuri ya kufanya biashara ndogo ndogo na penye unafuu wa maisha?

Habari za majukumu wadau? Natumai mpo shwari.
Kama title inavyoonekana, jamani naombeni muongozo kati ya Babati town na Dodoma ipi sehemu nzuri ya kufanya biashara ndogo ndogo na penye unafuu wa maisha.?
Kuhusu biashara ni yoyote ile naangalia fursa kwenye eneo.

Karibuni kwa maoni, ushauri.
Babati pako fresh sn kuliko Dodoma sababu sehemu zote 2 nimekaa nikafanya biashara
 
Sikilizeni Dodoma, Singida na Babati pako sawa tu kibiashara lakini kwa dodoma pesa ipo zaidi kidogo na vile vile dodoma kuna hitaji gharama za juu kuishi hapo kuliko babati na singida, vyumba vingi dodoma vya kuishi huwa ni elfu 50,000tzs chumba kimoja single na labda bahati sana upate kibaya cha 30,000tzs.

Singida na Babati vyumba ni 20000tzs na 25,000 au 30000 kwa mjini vya kuishi.

Gharama za vyakula kote kupo sawa tu. Japo kwa babati tu vyakula huwa bei nzuri kidogo.

Nyumba za biashara almaarufu fremu kwa dodoma ni kuanzia 300,000 na chini huwa ni 250000 kwa mjini kati pale.( huwa fremu kwa sasa ni adimu), Kwa upande wa singida na babati fremu nyingi ni 200,000 au 150,000 pale mjini kati na huwa zipo tu.

Kwa mimi nawekeza singida au babati sababu amna ushindani na bado hapahitaji akili kubwa kutoka kama kwa dodoma ilivo kila biashara ipo, singa na babati biashara nyingi bado.
 
Ushauri mzuri japo kwa babati msimu biashara ikidorora anahamia kilimo
 
Mkuu Asante sana kwa muongozo. Naona babati nitakuja huko soon Babati utakua mwenyeji wangu mzee
 
Back
Top Bottom