Babati town na Dodoma ipi sehemu nzuri ya kufanya biashara ndogo ndogo na penye unafuu wa maisha?

MoseKing Kilo ya nyama ni 9000k sehemu nyingi, samaki bei juu, dagaa nadhani 5000k per kg, Sina uhakika maana mimi huwa naagiza mwanza dagaa wale waliokaangwa.

Uswahilini Dodoma ni maili mbili na changombe sana sana pengine panakua pakawaida hapaqualify kuitwa uswahilini. Hata hivyo sio uswahilini kihivyo.

Bajaji bei za kukodi pekeyako ni hizo 5000/4000 kutokea mjini, lakini wamejitahidi sehemu ambazo daladala haziendi kuna bajaji zinapakia kama daladala watu wa3 zamani nauli kutoka mjini kwenda sehemu nyingi ilikua 1000 nadhani sa hivi imeongezeka labda 2000. Hii ni kwa bajaji zinavyopakia kama daladala.

Ubaya wa hali ya hewa Dodoma ni jua kali sana kwa vipindi vya jua, Vumbi, joto kiasi kwa miezi fulani na baridi kali kwa miezi fulani. Baridi haiwezi zidi ya kilimanjaro lakini na kuhusu joto haliwezi zidi la Dar sijui kuhusu Kg huwa naona pana hali ya hewa ya kawaida labda kwa sababu sikaagi huko sana nikienda, ila comparison ya Dar na Kilimanjaro iko sahihi. Hata hivyo Tz kwa kaisi kikubwa inafanana.
 
Ahsante Sana.

Nataka kuhamia huko kama mtumishi kujaribu maisha, maana Kilimanjaro nimeshachoka.
 
Usitoke nje ya kaskazini njoo babati utakuja nishukuru. Huku ni wewe tu ujue kucheza na mind biashara yoyote inasonga pia Maisha sio juu sana kiasi kwamba unaweza jibana na ukajenga kwako. Maji yapo ya kutosha hali ya hewa ndo kama hivyo kaskazini baridi fulani.
 
Habari zenu wadau.
Nashukuruni kwa maoni yenu nilifanyia kazi pande zote mbili na nilifika kabisa kila eneo.
Naomba nitoe mrejesho kwa upande wangu binafsi Babati ni sehemu nzuri sana.
Wana Babati naomba mnipokee soon tutakua pamoja.

Kwaraa,maisaka.[emoji736][emoji736][emoji736]
Karibu sana bbt mkuu
 
Mliofanikiwa kufika Babati kuishi Babati leteni mrejesho wakuu.
 
Back
Top Bottom