binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
MoseKing Kilo ya nyama ni 9000k sehemu nyingi, samaki bei juu, dagaa nadhani 5000k per kg, Sina uhakika maana mimi huwa naagiza mwanza dagaa wale waliokaangwa.
Uswahilini Dodoma ni maili mbili na changombe sana sana pengine panakua pakawaida hapaqualify kuitwa uswahilini. Hata hivyo sio uswahilini kihivyo.
Bajaji bei za kukodi pekeyako ni hizo 5000/4000 kutokea mjini, lakini wamejitahidi sehemu ambazo daladala haziendi kuna bajaji zinapakia kama daladala watu wa3 zamani nauli kutoka mjini kwenda sehemu nyingi ilikua 1000 nadhani sa hivi imeongezeka labda 2000. Hii ni kwa bajaji zinavyopakia kama daladala.
Ubaya wa hali ya hewa Dodoma ni jua kali sana kwa vipindi vya jua, Vumbi, joto kiasi kwa miezi fulani na baridi kali kwa miezi fulani. Baridi haiwezi zidi ya kilimanjaro lakini na kuhusu joto haliwezi zidi la Dar sijui kuhusu Kg huwa naona pana hali ya hewa ya kawaida labda kwa sababu sikaagi huko sana nikienda, ila comparison ya Dar na Kilimanjaro iko sahihi. Hata hivyo Tz kwa kaisi kikubwa inafanana.