Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Taaarifa zilizotufikia hivi punde huyo mama ameshawishiwa na jiwe kama mpambe na atapewa URAS wa mkoa fulani kwenyr safu mpya 2021
 
You man that does not mean an impotent person can not marry. Impotent can not bear a child or let me say he can not cause a woman to get pregnancy in a normal way.
Si ungeandika Kiswahili tu,sasa hii ni nini,si mkusanyiko wa maneno tu,dah.
 
Serikali ya awamu ya wabakiji hii, wanatoana jela wanakaribishana IKULU na wanaona.
Huku mashekhe wa UWAMSHO wakiachwa jela miaka nenda rudi bila hukumu.
Nchi inaangamia kwa kukosa maalifa.
Sio maalifa ni maarifa
 
Serikali ya awamu ya wabakiji hii, wanatoana jela wanakaribishana IKULU na wanaona.
Huku mashekhe wa UWAMSHO wakiachwa jela miaka nenda rudi bila hukumu.
Nchi inaangamia kwa kukosa maalifa.
Hivi kweli kesi ya wale mashekh hakuna hata mawakili wa kusimamia kesi yao kweli?
 
Hivi walisemaje wahenga..."Kabla hujafa..."

Ni nani aliyetegemea haya yatokee!
 
Maalifa!!Maarifa!!

"R" &"L"
Serikali ya awamu ya wabakiji hii, wanatoana jela wanakaribishana IKULU na wanaona.
Huku mashekhe wa UWAMSHO wakiachwa jela miaka nenda rudi bila hukumu.
Nchi inaangamia kwa kukosa maalifa.
 
Kaanza lini kasimisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…