Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

Nguvu za kiume siyo ulemavu kwamba mtu hawezi kupona.
 
Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza.

Mwanamuziki Nguza Viking maarufu (Babu Seya)jana Jumamosi Septemba 7, 2019 amefunga ndoa na Bi. Desderia Haule. Ndoa hiyo imefungwa katika kanisa Katoliki la Sinza. Bi. Desderia Haule ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza mkoani Tanga.

1567938168221.jpeg


Chema cha Babu Seya
Nimtakie Mzee wetu Seya ndoa njema.
 

Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    9.1 KB · Views: 43
Hawa Makatibu Tawala tawala wa awamu hii sio mchezo? Niwatakie ndoa yenye furaha na maisha mema.
 
Wakati wa kesi yake alidai kuwa yeye ni hanithi
 
Wakati wa kesi yake alidai kuwa yeye ni hanithi
 
Nakumbuka kwenye kesi yake akikata rufaa na kusema kwamba yeye ni hanisi aka impotent, sasa naanza kupata mashaka....
You man that does not mean an impotent person can not marry. Impotent can not bear a child or let me say he can not cause a woman to get pregnancy in a normal way.
 
Mkuu naomba nichukue fundisho kingereza chako. Nimesoma shule za nyumbani zamani sana kabla ya uhuru.
Au ulitaka niseme an impotent can meet t impregnate a woman I use coloquiall. Sometimes you have to figure it in your brain
 
Hapa ndipo kina utata

Wakati kesi ya ubakaji ikimkabili, Babu Seya alikuwa na hoja moja aliyoisimamia mpaka mwisho,kwamba hana nguvu za kiume hivyo asingeweza kubaka/kuingilia kimwili.

Leo hii tarehe 6/9/2019 Babu Seya kaoa tena binti mbichi!

Je alikuwa anasema uongo? Je hakumfanya Rais wetu ajiongoze vibaya mpaka kumpa msamaha?alikuwa anasema uongo mahakamani?View attachment 1201070
unajuaje kama alizipatia jela?
 
Back
Top Bottom