Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mmmh.... Hii kesi imejaa utata mtupu, hakijulikani kipi cha kweli au ni kipi cha uongo, ila mtenda na mtendwa ndio wanaojua ukweli halisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi demu anahitaji kukomeshwa au anahitaji kuenjoy na umfikishe kileleni?
ngoja mbakwe ndo mtajua machungu na kutia akili
Hawa jamaa hawakubaka subiri jk aondoke madarakani tuitishe mafaili upya labda awaue kwa sumu huko jela vinginevyo ukweli utawekwa hadharani na kila mwenye sikio atasikia.
Wakongo noma wana dawa flani hv ya magome wanakula akisimama juu ya kifua nomaa lisaa hajashusha wazungu,ninayo nauza inaitwa kassongo7.
Cc: Madame B
Mfuate jela ukampe 0713
mmesha nichanganya... kwani walibaka au walilawiti?
ie: watoto walikua me/ke?
Naamini kuwa maovu yanayofanyika ndani ya nyumba kwa Imani kuwa tuliopo nje katu hatuwezi kuona wala kufahamu kinachoendelea ila kwa Imani siku ya mwisho uovu huo utanenwa na kufunuliwa juu ya paa.Haki inapoporwa na wenye nchi na kiama kwa wengine ila ipo siku ukweli utadhihiri na pengine akina Nguza wakawa huru
pitia mahakama ya kisutu usome mwenendo wa Kesi Yao ....walichowafanyia watoto ni cha kusikitisha. Habari za vijiweni zinaporudiwarudiwa zinakua ukweli hasa kwa wajinga an wavivu wa kufuatilia mambo Kama Watanzania.tunasikia babu seya alimla mama yake nanihii halafu baba yake nanihii akapata habari,si unajua tena wakongo walivyo wabaya??haaahaahaaa,,,,hayo mambo ya kubaka hatujui
kilichonitia huzuni na hasira ni ile wanafunzi kuekewa manano mdomoni na yule mwl mkuu wa shule ya msingi mapambano. Wakafoji hadi nyumba pale sinza eti ndiko walikokuwa wanabakia hivyo vitoto.hii kesi hii itamjambia babaake na nanihii...! Nguza alikamua demu wa mtu jamaa akashangaa yeye akiwa anakamua mwanamama anaimba "seya wa mivalo" jamaa akaona isiwe taabu.. Kwa hasira hata panya hakubaki...
.Inaonekana huyo Paulina alikuwa hatosheki mpaka wakamtafutia kiboko yake.