habari nilizozipata ivi punde zinasema babu seya kaachiliwa huru
naomba usibitisho jamani
yani mtu ni verified user alafu anapost uharo.
habari nilizozipata ivi punde zinasema babu seya kaachiliwa huru
naomba usibitisho jamani
Nina mashaka na Elimu yako.....Unajua maana ya mtu kuwa verified hapa JF???
Yeye yupo busy kwenye jukwaa lake huko.
mwekundu uko serious?ni kweli mkuu sema amekurupuka
habari nilizozipata ivi punde zinasema babu seya kaachiliwa huru
naomba usibitisho jamani
Ni kweli ameshinda rufaa na yuko huru
jk unaweza kumuibia hela akakusamehe lakini sio mwanamke,seya hatoki.
Wametoka aiseeee