Hivi wanaweza kudai fidia kwa muda wote waliopoteza gerezani. ...?
habari nilizozipata ivi punde zinasema babu seya kaachiliwa huru
naomba usibitisho jamani
Wametoka aiseeee
Ila mi namkubali sana huyu warumi!anajua jinsi ya kuwaondoa watu stress!kuna kipindi aliadimika tulikonda!Ukitaka uthibitisho nenda jukwaa la celebrity utakutana na jamaa mmoja mmbea balaa hajawahi kutokea anaitwa Warumi.
Huko USA kuna ndugu wawili wamekaa jela miaka 30 juzi juzi wameachilia baada ya kugundulika hawakuwa na hatia.
Huenda anataka kujisafisha katika jamii,lakini kasafiri mpaka anajishtukia hivi sasa,huenda hajui hali ilivyo tight huku kitaa,amesafiri mpka Singapole,ni nini tumepata kutokana na safari zake za kiuj.........
omg miaka 30. ...
Mungu awasaidie. ...