Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
Au wamesafisha nyota ?Hawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
Wewe upo vizuri upstairs ila joblessHawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
Siasa ni MIPANGO tuHawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
Huyu jamaa kila ikikaribia uchaguzi mtu wake wa karibu anakufa.Au wamesafisha nyota ?
Nimejiajiri mkuu huku MINJINGU kwa kuchoma mkaa.Wewe upo vizuri upstairs ila jobless
Uchaguzi huu kafa nani ?Huyu jamaa kila ikikaribia uchaguzi mtu wake wa karibu anakufa.
Unajua elimu na uelewa wa hao wajumbe? Hapo ndio tatizo linapoanzia.Hawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
GPA inasoma ngapi?Nimejiajiri mkuu huku MINJINGU kwa kuchoma mkaa.