GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.


NAONA MNASHEREKEA. WANAWAKE MKIPENDA........
 
Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.

Kabuli la mke wake linamlilia kwa kumtoa kafara
 
Inawezekana maana ikifikia uchaguzi wanafariki ndugu zake....Kipindi cha uchaguzi alifariki mkewe ,kipindi hichi mwanae.
Hee hii ya mwanae ndo nasikia, ni mwanae yupi? Mkubwa?
Naomba Mungu apite nae na yy kiti kimtapike aisee
 
Babu Tale yupo. Na hata kwenye Jimbo lake la Morogoro Vijijini, ameongoza kwenye kura za maoni. Kwa hiyo usije ukashangaa akirejea tena Bungeni.
 
Ni mbunge mteule yule. Kapita kura za maoni.
 
Back
Top Bottom