njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Safari ya kwa pididi imezaa matunda japo mwenzie hakupewa tuzoBabu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
CCM Ili uwe kiongozi sifa mojawapo kuu uwe kilaza hizo zingine ni za ziada tuHawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
Ifike mahali Watanzania waheshimiwe!Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
Hawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
Chezea ndumba weye 😏😏Hawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
Mganga wake basi mzuri maana huyo TALE TALE ni empty set.Chezea ndumba weye 😏😏
Inawezekana maana ikifikia uchaguzi wanafariki ndugu zake....Kipindi cha uchaguzi alifariki mkewe ,kipindi hichi mwanae.Sio kuhonga....ka..ra
Mwanae kafariki lini?Inawezekana maana ikifikia uchaguzi wanafariki ndugu zake....Kipindi cha uchaguzi alifariki mkewe ,kipindi hichi mwanae.
GPA inasoma ngapi?
Wajumbe hawataki akili za mgombeaHawa vilaza wanapita pita vipi mbona ni WEUPE sana upstairs? Au wanahonga sana?
Mwanae mkuu.Uchaguzi huu kafa nani ?
Mwanae kafariki lini?
Duh kama ni kweli Mambo ya kafara hiyo pesa anayopata anafurahia Nini?Between June and July kuna mwanae alifariki(inawezekana siyo wa kumzaa lakini alikuwa anaishi naye).
Duh kama ni kweli Mambo ya kafara hiyo pesa anayopata anafurahia Nini?
Katiba mpya ni kipaumbele cha kwanza kuondoa wahuni wote!