Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

kidaganda

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
2,995
Reaction score
2,572
Binafsi nimependa ushirikiano na jitihada alizozianzisha juu ya kupatikana kwa Roma

Amewataka wasanii wote SAA 6 wakutane Tongwe kujadili namna ya kumtafuta na kumpata Roma..

source page yake Instagram..


Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara

 
ina maana hakuna camera ndani ya studio.....!!!
 
lakini Studio kubwa kama ile kukosa CCTV Camera ni udhaifu wa hali ya chini kabisa...
Anyway Wasimuue tu huko aliko...
Kama haina ryder na murder wazembe saana. Ninja.
 
Si Wai trace hiyo simu wanayosema inaita kupitia mtandao wake wa simu.
Mbona huwa makampuni kupitia polisi wanatusaidia mara kwa mara kuwapata vibaka kupitia simu zao why not huyu msanii?
 
kama simu inaita, msg za what's sap zinasomwa TCRA wanashindwaje kujua hii simu iko wapi? au haiwahusu
 
Ametekwa TANGA(TONGWE) au TONGWE(OYSTERBAY)? CCTV ni Muhimu Sana kwenye sehemu ambapo watu wengi uingia kama studio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…