Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

usalama wa wananchi upo wapi.na hii tabia ya kuchukuwaa watu bila taarifa za ndugu na jamaa .si ngeni kwa mtindo huu.je wajibu wetu kama raia kujua sheria.
huyu ni roma leo kila mtu anataka kujua.je makapuku kama sisi..?
 
Si Wai trace hiyo simu wanayosema inaita kupitia mtandao wake wa simu.
Mbona huwa makampuni kupitia polisi wanatusaidia mara kwa mara kuwapata vibaka kupitia simu zao why not huyu msanii?

kabisa! so simple kwa kweli wana option ya kui-trace hiyo simu yake
 
Yani mtu atekwe halafu waache simu yake hewani? huu ni usanii tuu kama ule wa ben saanane
Ifike wkat kuwa na akili watu wnatafta ndgu yao hawajui alipo alaf unakuja na jokes za kipumbavu,kama huna cha kupost kaa kimya
 
4883308f58e42fbe67e9fc368f33ee5e.jpg
 
Kama aliye juu anahusika ni ngumu sana kampuni ya simu kusaidia
Ndio maana wana ujasiri Wa kuiacha simu hewani
Studio haina cctv
Lin, mimi hapa duniani alie juu ni Mungu pekee na ndie nayemuogopa ...hao wengine ni kama mbegu tu tena mchele tu mbele ya Mungu.
 
watu wanapotezwa kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu "BASHITE"
 
Aiseee!! Pia studio kubwa kama hyo af hain security
Wala cctv walikua wamezembea sana
Wanasema ulinz upo ila
Wakat wanavamila hakukua na ulinz maswli mengj yako hapa? Hyo saaa security ilikua wap?
 
Lin, mimi hapa duniani alie juu ni Mungu pekee na ndie nayemuogopa ...hao wengine ni kama mbegu tu tena mchele tu mbele ya Mungu.
It's true mungu ndo wakuogopwa
Pekeake
 
Ke
[QUOTEmntashobolwa, post: 20546067, member: 71917"]Yani mtu atekwe halafu waache simu yake hewani? huu ni usanii tuu kama ule wa ben saanane[/QUOTE]
Kengele wakubwa hawa, wanajitekenya wenyewe halaf wanajistukia. Hivi kwa akili ndogo tu mtu akitekwa simu itakua on? Tusiporezeane muda kwa hizi kiki za kipimbi, hizi drama zenu ziishie ufipa
 
Screenshot_2017-04-07-16-34-57-1.png
Screenshot_2017-04-07-16-14-23-1.png
IMG-20170407-WA0063.jpg

Asubuhi ya leo katika hali ya kushangaza ambayo wajuzi wa mambo walijua haina nia njema, BABU TALE alipost kuhusu kutekwa kwa ROMA NA MONI. Katika post yake bwana TALE alisema yeye anataka 'swahiba wake' ndugu Paul Makonda aeleze umma ni wapi walipo kina Roma eti kisa yeye ni M/Kiti wa Kamati ya Ulinzi.

Tale aliwataka wasanii wenzake kukutana kwenye studio za Tongwe ili wapange cha kufanya. Wasanij wengi walifika hapo walipoambiwa wakutane, wakasogea mpaka Coco beach na hapo TALE alithibitisha uwakili wa shetani.

Tale ambaye awali alionekana kuitisha Mkutano eti alisema Mkutano ukafanyike nyumbani kwa Makonda ( NONSENSE ). Nusu ya wasanii waliokuwa pale tulikataa, na wachache walienda huko kwa Makonda.

Tangu awali nia ya TALE ilionekana ; amepanga na Makonda ili watu waanze kumzungumzia Makonda kisha akijfanye shujaa eti afanikishe kupatikana kwa kina Roma. Wanacheza mchezo wa kipuuzi kwenye maisha ya watu kwa lengo la kumrudisha makonda kwenye vinywa vya watu. Juzi hapa Makonda kaenda Ofisini kwa kina Babu Tale ( WASAFI ) lakini kiki ile ikafeli.

Hivi sasa wakati watu wanahisi 'Bashite' kuhusika kwenye utekaji, TALE anajaribu kucheza na akili za watu kumsaidia Bashite.

[HASHTAG]#WAPUUUZWE[/HASHTAG].
 
Back
Top Bottom