Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Aiseee!! Pia studio kubwa kama hyo af hain security
Wala cctv walikua wamezembea sana
Wanasema ulinz upo ila
Wakat wanavamila hakukua na ulinz maswli mengj yako hapa? Hyo saaa security ilikua wap?

Chadema hawataki Wafuasi wao wajadili kuchemka kwao kwny Uchaguzi wa Bunge la EA Ndio sababu wamekuja na ka Igizo walikoshindwa kukatengeneza vizuri
 
Si Wai trace hiyo simu wanayosema inaita kupitia mtandao wake wa simu.
Mbona huwa makampuni kupitia polisi wanatusaidia mara kwa mara kuwapata vibaka kupitia simu zao why not huyu msanii?
Do you think they are stupid enough wamkamate mtu halafu wakae nae na simu yake waiache tu ikiwa inaita,na msg za whatsap zinasomwa kabisa?!!..kama ni watu wenye nia mbaya obvious iyo simu wameiacha on makusudi ili kuwaingiza maboya kabisaa...sasa ebu waitrace iyo simu halafu uone watakapoambiwa ilipo.....unaweza kukuta simu ipo kantalamba huko halafu Roma mwenyewe wapo nae kwenye mapango ya amboni!!
 
Chadema hawataki Wafuasi wao wajadili kuchemka kwao kwny Uchaguzi wa Bunge la EA Ndio sababu wamekuja na ka Igizo walikoshindwa kukatengeneza vizuri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Serikali inailea hii hali,inaanza kama mchezo mchezo,baadae inaweza kuwa mbaya zaidi,watu watatengeneza vikundi vya utekaji kwa kuona kuwa inawezekana tu.
 
Nmepanic matapishi yenu mnayoongea baadhi humu kama wewe, ndio nakuuliza wewe kama nani kusema kizaz hiki kipotee
yule ni baba mwenye familia
ndio maana nikakwambia hujaelewa comment yangu unakurupuka tu!! anyway kwa heshima ya roma sitaki kuharibu maudhui ya huu uzi kwa sababu yako so nipotezee
 
Kwenye hii ishu ya Roma babu tale kumtaja Bashite... Kuna filamu inapikwa hapa wanajf tegeni sikio mtakuja kuniambia.... Bashite atakamata headline tena kama hero
 
IVi wewe humu ndani ulikuja mwenyewe au uliletwa? Nina mashaka na akili iliyomo kwenye kichwa chako pumbavuuuuuu.

Hata Ney wa Mitego 'angetekwa ' Kama sio JPM kuwahi kkuruhusu huu wimbo!

Biashara ya Tishert za kumtafuta Ben ilipanza kupwaya mmebadili Gia Angani'

Mungu atawalaani nyie
 
"Mtekaji atakuwa ni yule yule mzoefu,mtu asiye na aibu,mwenye roho kama joka la jangwani,linalotishia watu kuonana ana kwa ana na chatu"
 
Hata Ney wa Mitego 'angetekwa ' Kama sio JPM kuwahi kkuruhusu huu wimbo!
Kwa akili yako ya kushikiwa unaona aliruhusu kwa nia nzuri? Ivi ninyi mapunguani wa miaka hii mmelelewa vipi? Kama mnashindwa hata kung'amua mitego midogo kama hiyo ninyi ni wa nini?
Nakushauri ukae utulie na uhangaishe ubongo wako utagundua kinachoendelea.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Igizo lime fail. Hatutaki Biashara ya
Kuuza Tishert Kama kwa Ben saanane
 
Back
Top Bottom