Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Vyeti vimesahaulika...... Na sasa ni roma.
Akitoka roma sijui kiki gan itafuatia.
Mwanangu ney jiangalie sio kila anayekusifia anapenda...... Hiyo shooting haina noma sana ila remix..... Sisemi
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kupatikana kwa ROMA iwe first priority huu muda wa nani alifanya nn au kulaumia upo tu jamaan
 
  • Thanks
Reactions: SDG
lakini Studio kubwa kama ile kukosa CCTV Camera ni udhaifu wa hali ya chini kabisa...
Anyway Wasimuue tu huko aliko...

Labda waliotekwa waliizima ili Watekaji wasionekane!
 
Back
Top Bottom