Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Kama haina ryder na murder wazembe saana. Ninja.
Kuna mtu aliripoti kuwa mwanasheria alikuwepo, aliwezaje kuruhusu hayo yote kutokea? Na ni nini wajibu wake kama mwanasberia ambapo hayo yote yametokea mbele yake na asijue mteja wake kapelekwa wapi, kachukuliwa na nani na kwa nini?au na yeye Bashite?
 
ndio maana nikakwambia hujaelewa comment yangu unakurupuka tu!! anyway kwa heshima ya roma sitaki kuharibu maudhui ya huu uzi kwa sababu yako so nipotezee
Nishakupotezea zamani.
Fikiri kabla ya kuandika.
Unajua ulichoandika mwenyewe usjifanye hujui. Unabadilisha upepo.
 
mkuu wa mkoa tusaidie katika msanii wetu arudi mapema na salama
Huyo mkuu wa mkoa gani unayemuongelea?

Kama ni huyo wa dar wala hatumuhitaji....alete vyeti kwanza maana hata style ya uvamizi wa tongwe ni kama ile ya clouds....

atakuwa anahusika na tukio la kutekwa roma2030 so akae mbali asije kuharibu upelelezi.
 
Aiseee!! Pia studio kubwa kama hyo af hain security
Wala cctv walikua wamezembea sana
Wanasema ulinz upo ila
Wakat wanavamila hakukua na ulinz maswli mengj yako hapa? Hyo saaa security ilikua wap?
Unapajua tongwe? Ushawahi kufika? Au ndio kukariri kuwa studio kubwa.....

haina ukubwa huo kwa maana ya jengo....ila ina ukubwa kwa maana ya kazi zinazozalishwa na maproducers na wasanii waliojaa ubunifu

Kiufupi Tanzania nyingi au kama sio studio zote ni home recording studio na sio kama unavyopata picha ya studio za badboys au hata deathrow ya enzi zileeee.

pia historia ya usalama ya Tanzania na malezi tuliyokulia kulikuwa hakuna haja ya kuweka security cameras....hii itapata kiki sana kipindi hiki cha magu maana political platform imebadilisha security settings za wananchi na mengineyo mengi tuu.
 
Kwenye hii ishu ya Roma babu tale kumtaja Bashite... Kuna filamu inapikwa hapa wanajf tegeni sikio mtakuja kuniambia.... Bashite atakamata headline tena kama hero
Bashite akae mbali na hii issue....yeye alete vyeti...hatutoi kiki.....bringbackroma2030alive.
 
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]

Igizo lime fail. Hatutaki Biashara ya
Kuuza Tishert Kama kwa Ben saanane
Tatizo akili yako haifikirii kitu kingine zaidi ya ukada! Hata kwenye mambo ya msingi wewe unaweka ukada mbele.
 
Mbona mnakosa cha kuandika
Hata wewe ungekuwa sisi ungekosa cha kuandika.....

hatugawikikikwabashiteee... usijisahau kuwa nawe ni mwandishi wa habari za mitandao na tumehimizwa na bodi ya wahariri mzee maxcence mello kupitia jukwaa lao kuwa habari za bashite zisiandikwe na tususie ila zile mbayaaaaa ndio tunaweza kuandika kwa nguvu zoteeee.

Kwakweli mie nimeona KALIO LA BASHITEEEE kama selling point ya gazeti langu la kesho.
 
Na inawezekana hata ROMA mwenyewe amekatiwa Madola yakutosha na BASHITE ili waicheze vizuri hii filamu yao...

Siamini kama Roma hajashirikishwa katika hili,Roma na Makonda wanajua wanachokifanya
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom