Babu Tale alivalia njuga suala la Roma, Amtaka RC Makonda aseme wapi alipo

Hivi nini kinashindikana kutrack hayo mawasiliano yake?
Nakumbuka kuna jamaa alijiunga nmb mobile akawa anavuta mkwanja wa mama fulani! baada ya miezi kadhaa akabadili namba ila walimfanyia tracking mpaka akaja kukamatwa tulipo!
Nini kinashindikana kwa roma?
 
Wasanii wote ni wajinga tuuu..nani aliwambia aliyetekwa anatafutwa insta?
 
Kama aliye juu anahusika ni ngumu sana kampuni ya simu kusaidia
Ndio maana wana ujasiri Wa kuiacha simu hewani
Studio haina cctv
 
Yani mtu atekwe halafu waache simu yake hewani? huu ni usanii tuu kama ule wa ben saanane
Siku mama yako akifanywa vibaya ndo utajua maana ya usanii. Binadamu mwenzio anatekwa wewe kwa vile unalipa 2000 kila post hata ya kijinga kama hii, unaleta upoyoyo? Kafie mbali na siku ukifa utazikwa majini!
 
Kuna watu wana funza vichwani. Huyu ni poyoyo kabisa
 
Yaani hata namba za gari walishindwa kukariri? Hata kupiga simu polisi walishindwa?uzembe gani huo?halafu Roma anaitwa anahojiwa anachukuliwa na Moni nae hashituki anaenda tu? Kuna jamaa yetu aliwahi kutekwa ili atoe maelezo alipo lafiki yake ambaye alikuwa anatafutwa na watekaji.basi yule jamaa wakamwambia apige simu ilu lafiki yake aje.kweli alipiga simu na lafiki yake akaja,ila wakati jamaa anakaribia(walikuwa kwenye gari nyeusi) yule aliyetekwa akasema kwa sauti ""OYA MWANANGU KIMBIA ,HUU MSALA" halafu na yeye akaruka pale mlangoni akakimbia,basi wakapona kiivyo,unaona mtu alivyotumia akili???sasa hawa wakina Roma wametekwa kizembe kabisa
 
Duuu nishasikitika hata cha kusema sina
 
Mkuu ulishawahi sikia kitu "Ambush"?
 
Back
Top Bottom