kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,995
- 2,572
Binafsi nimependa ushirikiano na jitihada alizozianzisha juu ya kupatikana kwa Roma
Amewataka wasanii wote SAA 6 wakutane Tongwe kujadili namna ya kumtafuta na kumpata Roma..
source page yake Instagram..
Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara
Amewataka wasanii wote SAA 6 wakutane Tongwe kujadili namna ya kumtafuta na kumpata Roma..
source page yake Instagram..
Pia Soma: Utata: Msanii Roma Mkatoliki na wenzake wakamatwa/tekwa nyara
View attachment 492455View attachment 492456View attachment 492458
Asubuhi ya leo katika hali ya kushangaza ambayo wajuzi wa mambo walijua haina nia njema, BABU TALE alipost kuhusu kutekwa kwa ROMA NA MONI. Katika post yake bwana TALE alisema yeye anataka 'swahiba wake' ndugu Paul Makonda aeleze umma ni wapi walipo kina Roma eti kisa yeye ni M/Kiti wa Kamati ya Ulinzi.
Tale aliwataka wasanii wenzake kukutana kwenye studio za Tongwe ili wapange cha kufanya. Wasanij wengi walifika hapo walipoambiwa wakutane, wakasogea mpaka Coco beach na hapo TALE alithibitisha uwakili wa shetani.
Tale ambaye awali alionekana kuitisha Mkutano eti alisema Mkutano ukafanyike nyumbani kwa Makonda ( NONSENSE ). Nusu ya wasanii waliokuwa pale tulikataa, na wachache walienda huko kwa Makonda.
Tangu awali nia ya TALE ilionekana ; amepanga na Makonda ili watu waanze kumzungumzia Makonda kisha akijfanye shujaa eti afanikishe kupatikana kwa kina Roma. Wanacheza mchezo wa kipuuzi kwenye maisha ya watu kwa lengo la kumrudisha makonda kwenye vinywa vya watu. Juzi hapa Makonda kaenda Ofisini kwa kina Babu Tale ( WASAFI ) lakini kiki ile ikafeli.
Hivi sasa wakati watu wanahisi 'Bashite' kuhusika kwenye utekaji, TALE anajaribu kucheza na akili za watu kumsaidia Bashite.
[HASHTAG]#WAPUUUZWE[/HASHTAG].