Babu Tale amnyonyoa Mrisho Mpoto, amwambia aache kiherehere na kutafuta kiki

Una akili sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpoto kafanya vema uyo jamaa ndomo alikuwa hana mpango wa kwenda.

The Future is in Our Brain's Tongue's and Hand's.
 
Mrisho mpoto kweny hili kafeli sana,yani mpoto hakuwa na namba ya diamond hadi aende public? Alaf utamuitaje mtu as if aligoma kwenda msibani.



Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Kabisa mkuu,huyu mtembea peku ameonyesha udhaifu wa kipuuzi kabisa. Amejitangulizi mbele mbele. Kumbe kutengeneza kiki ni kazi kubwa hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi hawajui nini maana ya manager wa msanii. Wengi wakiwa na manager wanamtumia kama mbwembwe tu,ndio maana wengi hawafiki mbali. Huyu manager wa Diamond anaijua kazi yake. Na Diamond anajua nini maana ya manager

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu,huyu mtembea peku ameonyesha udhaifu wa kipuuzi kabisa. Amejitangulizi mbele mbele. Kumbe kutengeneza kiki ni kazi kubwa hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani alaf anataka kutuaminisha eti yeye ndo kafanya jamaa aende msibani..[emoji23][emoji23][emoji23]

Dah kweli kiki hazichagui umri

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…