Babu Tale amnyonyoa Mrisho Mpoto, amwambia aache kiherehere na kutafuta kiki

Babu Tale amnyonyoa Mrisho Mpoto, amwambia aache kiherehere na kutafuta kiki

Mbona unauliza na kujijibu mwenyewe bila kujua.

Hao haters 99%(sijui kwa utafiti upi) ndio hao hao mashabiki anaowahofia yeye kwamba watamuandama iwapo atatenda vile wao wasivyopendezwa.
Man, you got it wrong!!! In short, hawezi kufanya jambo la kuwafurahisha haters wachache! Na hao wanaweza kuwa mashabiki lakini sio mashabiki wake!!! Mtu kama Mange Kimbambi tangu lini akawa shabiki wa Diamond?!
Na mimi kuhoji ni kwa nini Mondi na sio jide, ni dhahiri kuwa Mondi ndiye mwenye wafuasi wengi kwa sasa, impact yake si ya kulinganishwa na Wenzake wengi, anachofanya Mondi athari yake ni tofauti na mwingine walau kwa wakati huu..
Impact ipi?! Yaani impact ya kuhudhuria msiba wa Ruge na si wa mwingine yeyote yule, au?! Mond kutokwenda kwenye msiba wa Ruge kumepunguza nini na endapo angeenda kungeongeza nini?!
Na sijui ni kwa nini unashabikia afanye jambo lenye sura ya ukatili kuliko busara ili hali hana chochote cha kupoteza kwa kuonyesha busara..
Yaani ukatili kwa sababu tu hakuhudhuria msiba wa Ruge, au?[QUOTE="May Day, post: 30623924, member: 489210]"Shabiki wa aina yako bila shaka pia umejijumuisha kati ya hao WANAFIKI unaowataja hapo juu.[/QUOTE]Wallah tena, wewe ndie unaestahili kuingia kwenye hilo kundi la wanafiki! Kwa sababu wanafiki jinsi walivyo, unaweza kukuta miongoni mwao wanaishi Mikocheni lakini hawakwenda nyumbani kwa akina Ruge! Unaweza kukuta wanaishi Upanga na City Center lakini hawakwenda Karimjee! Lakini hapa wanataka kujionesha ndo walikuwa na uchungu sana na Ruge kiasi kwamba kwa mtu kama Diamond kutokwenda, basi ni ukatili! Sasa kama sio unafiki tuite nini?!
Na ndo maana nimekuuliza nitajie ugomvi wa Ruge personally na Diamond, umeshindwa! Nimekupa changamoto utaje ni kwanini unadhani LAZIMA Diamond angehudhuria kwenye msiba wa Ruge, napo umeshindwa! Yaani kutokana na unafiki wako, unataka kujifanya unawafahamu sana Ruge na Diamond kuliko wanavyojifahamu wenyewe?!
 
Man, you got it wrong!!! In short, hawezi kufanya jambo la kuwafurahisha haters wachache! Na hao wanaweza kuwa mashabiki lakini sio mashabiki wake!!! Mtu kama Mange Kimbambi tangu lini akawa shabiki wa Diamond?!
Impact ipi?! Yaani impact ya kuhudhuria msiba wa Ruge na si wa mwingine yeyote yule, au?! Mond kutokwenda kwenye msiba wa Ruge kumepunguza nini na endapo angeenda kungeongeza nini?!
Yaani ukatili kwa sababu tu hakuhudhuria msiba wa Ruge, au?[QUOTE="May Day, post: 30623924, member: 489210]"Shabiki wa aina yako bila shaka pia umejijumuisha kati ya hao WANAFIKI unaowataja hapo juu.
Wallah tena, wewe ndie unaestahili kuingia kwenye hilo kundi la wanafiki! Kwa sababu wanafiki jinsi walivyo, unaweza kukuta miongoni mwao wanaishi Mikocheni lakini hawakwenda nyumbani kwa akina Ruge! Unaweza kukuta wanaishi Upanga na City Center lakini hawakwenda Karimjee! Lakini hapa wanataka kujionesha ndo walikuwa na uchungu sana na Ruge kiasi kwamba kwa mtu kama Diamond kutokwenda, basi ni ukatili! Sasa kama sio unafiki tuite nini?!
Na ndo maana nimekuuliza nitajie ugomvi wa Ruge personally na Diamond, umeshindwa! Nimekupa changamoto utaje ni kwanini unadhani LAZIMA Diamond angehudhuria kwenye msiba wa Ruge, napo umeshindwa! Yaani kutokana na unafiki wako, unataka kujifanya unawafahamu sana Ruge na Diamond kuliko wanavyojifahamu wenyewe?![/QUOTE]
Mzee unapotosha kabisa hoja zangu.

Ni bora tu niishie hapa.
 
Naona wewe unapotosha kabisa mjiadala.
 
Hii ni picha tosha kwake kwamba Mondi ana Mashabiki wa kila aina, wapo watakaomshangilia kila anachofanya, hata kama atamchoma Mtu kisu hadharani..
Duh! We jamaa nimekugundua ni hater unayejificha kwenye kivuli cha kujifanya una busara, manake kulinganisha suala la kuua na kutokwenda msibani, you must have something on him, si bure!!!

All in all, naomba unijibu swali la kwanini unadhani Mond ilikuwa LAZIMA LAZIMA aende nyumbani msibani kwa akina Ruge!!!
 
Mpoto nae hana akili kumbe yani wasanii wa Tanzania hovyo kweli.
 
Mzee unapotosha kabisa hoja zangu.

Ni bora tu niishie hapa.
Wapi nimepotosha?! Au inawezekana hufahamu tafsiri ya neno mnafiki! Kwa kifupi, mnafiki ni yule ambae atajifanya kupigania kitu ambacho hata yeye hakifanyi lakini atataka kuonesha watu kwamba anafanya!! Haya Chifu, niambie ni hoja yako ipi niliyopotosha!!!
 
Atakua hajui history za wote na lini Tale alianza kuwa Manager wa Mondi;Ruge alikua hataki kuwa manage directly wasanii so akina Tale na Fela ndio walikua bosheni ila Ruge ndio Manager wa Mondi aliyemtoa baada ya kuachana Papaa Misifa

Sent using Jamii Forums mobile app
No baada ya Papa Misifa,akaja Raqey Mohamed jamaa mpiga picha ,ana miliki kampuni ya I-VIEW (aliingia nae mkataba baada ya kutoa project ya nataka kulewa) ,Ruge baada ya kumuuona Dogo ana potential na mvuto wa kibiashara ndio akaanza kumtumia katika events zake,mwisho wa siku wakazinguana katika malipo ,dogo ndio akaamua kusepa kivyake,ndia akawachukua Sallam,Babutale na Fella kwa mujibu wa Fella Diamond kawaajiri kumanage kazi zake,kila kinachopatikana Mondi anachukua 70% wao wanachua 30%.
download.jpg
 
Sasa Mkuu kama kila kitu umeona kuwa kimeenda sawa, sioni tena hata haja ya kulumbana.

Hii ni picha tosha kwake kwamba Mondi ana Mashabiki wa kila aina, wapo watakaomshangilia kila anachofanya, hata kama atamchoma Mtu kisu hadharani.

Kupanga ni kuchagua, na mimi pia kama Shabiki wake nimechagua upande wa kuona anajitahidi kufanya yenye busara kwa kila lililo ndani ya uwezo wake.

Kiufupi Mondi amezengua, ila bado ana nafasi ya kufanya jambo kujifsafisha.
Be specific kazingua nini? Ajisafishe kafanya nini? be specific na si kuficha ficha.
 
Atakua hajui history za wote na lini Tale alianza kuwa Manager wa Mondi;Ruge alikua hataki kuwa manage directly wasanii so akina Tale na Fela ndio walikua bosheni ila Ruge ndio Manager wa Mondi aliyemtoa baada ya kuachana Papaa Misifa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio sahihi! Ruge hajawahi kum-manage Mond iwe directly or indirectly! Uhusiano wa Ruge na Mond ni wa kibiashara zaidi kuliko kumsaidia!!

Mond alianzia kwa Papa Misifa kama Manager huku Bob Junior akifanikisha utengenezaji wa ngoma zake za awali! Papa Misifa baada ya kuamua kuachana na mambo ya muziki, Diamond akaenda kwa Tale kuomba amsimamie! Tale kwa kujua uwezo wa Said Fella, akamuomba washirikiane kum-manage Diamond! 2013 (or 2014), Mond ndo akakutana na Sallam baada ya kuwa amefanikisha kumuunganisha na Davido kufanya ngoma ya Number 1; Sallam yule yule ambae hapo kabla aliwahi kumsimamia Mr. Nice lakini hawakufika mbali kwavile Mr. Nice hakuwa na nidhamu ya kazi!

Kilichomfikisha pale Mond, ni nidhamu ya kazi! Zile fitina za akina Fella na Tale zikawa zinapata nguvu na mtu mwenyewe nidhamu ya kazi!

Hivi sasa kinachoonekana ni tatizo ni kwa sababu wale waliokuwa wananyenyekewa na Diamond, hivi sasa dogo kagoma kuwanyenyekea na hakuna lingine zaidi ya hapo!!! Na hii tabia ya watu kupenda kunyenyekewa, hususani watu wa media ipo sana!!! Nakumbuka kiasi cha miwili iliyopita, DNA alimtolea uvivu DJ Pinge ambae na yeye kule Kenya anadhani ndo kila kitu kwenye industry!
 
Wallah tena, wewe ndie unaestahili kuingia kwenye hilo kundi la wanafiki! Kwa sababu wanafiki jinsi walivyo, unaweza kukuta miongoni mwao wanaishi Mikocheni lakini hawakwenda nyumbani kwa akina Ruge! Unaweza kukuta wanaishi Upanga na City Center lakini hawakwenda Karimjee! Lakini hapa wanataka kujionesha ndo walikuwa na uchungu sana na Ruge kiasi kwamba kwa mtu kama Diamond kutokwenda, basi ni ukatili! Sasa kama sio unafiki tuite nini?!
Na ndo maana nimekuuliza nitajie ugomvi wa Ruge personally na Diamond, umeshindwa! Nimekupa changamoto utaje ni kwanini unadhani LAZIMA Diamond angehudhuria kwenye msiba wa Ruge, napo umeshindwa! Yaani kutokana na unafiki wako, unataka kujifanya unawafahamu sana Ruge na Diamond kuliko wanavyojifahamu wenyewe?!
Mzee unapotosha kabisa hoja zangu.

Ni bora tu niishie hapa.[/QUOTE]
Wewe unamjua DIAMOND PLATNUMZ ,lakini NASIBU ABDUL si mimi wala ww hutumjuli,hao ni watu wawili tofauti.Wewe umesema pasonal sasa wewe ukijua haitokuwa personal bali public.

Hivi mpaka sasa dalili za ugomvi wa Ruge na Mondi huoni,hivi mara mwisho kusikia wimbo wa Mondi CMG lini.
 
Back
Top Bottom