Babu Tale asema anajiandaa kisaikolojia kufungwa jela maana hana millioni 250 za kumlipa Sheikh Hashim Mbonde

Nadhani kama lengo la sheikh mbonde lilikuwa ni MAFUNDISHO yawafikie watu ili wamjue Mwenyezi Mungu basi hana haja ya kudai fedha zote hizo ambae inaonekana kama alikuwa na lengo la kupiga pesa kuliko kueneza neno la Mwenyezi Mungu
Aisee
 
Abdul tale mwanangu kitambo(RIP)

OVA
 
Dini sikuizi in biashara km biashara zingine tu,walipe kodi na wao
 
Safi kabisa tia jela huyu tapeli pumbavu....Kawadhulumu wakina Z.Anto,Tunda Man,Kassim Mganga hawana hata viwanja alafu kawakimbia siku hizi anapika na Kulala kwa Madale alipo Dimond na yeye yupo.

Sasa huyu aende jela hiyo ndio itakuwa fundisho kwa matapeli wengine Said Fella,Ruge na Salam
 
Dady will come once again....

Ujasiliadini umeingia nchini kitambo.
 
Ni Ukauzu kudai kuwa dini zimeletwa na waarabu....Nani kakuambia kuwa Katoliki, Anglikan, Lutheran na Ulokole umeletwa na waarabu?
 
Mawaidha yamekuwa dili kama Msondo Ngoma? Haya twende kazi...
Mkuu zile album za Gospel wapi wanagawa bure? Vitabu vya dini vinauzwa! Matamasha ya dini yana viingilio! Magazeti ya dini yanauzwa! Mkuu kikichobaki bure ni Salamu na Hewa tu!
 
Na pia hasemi kama haya anayoyasema, pia aliyasema Mahakamani ama? Kama aliyasema, walimjibu nini?
Na imekuaje mahakama imetaja yeye na Sio mtu mwingine?
Ikifika kwenye matatizo kampuni inakosa mkurugenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…