mwami ndalibanye
Member
- Oct 5, 2016
- 31
- 34
umeongea point sana kaka. Dini imekua biasharaNadhani kama lengo la sheikh mbonde lilikuwa ni MAFUNDISHO yawafikie watu ili wamjue Mwenyezi Mungu basi hana haja ya kudai fedha zote hizo ambae inaonekana kama alikuwa na lengo la kupiga pesa kuliko kueneza neno la Mwenyezi Mungu