Babu Tale asema anajiandaa kisaikolojia kufungwa jela maana hana millioni 250 za kumlipa Sheikh Hashim Mbonde

Nadhani kama lengo la sheikh mbonde lilikuwa ni MAFUNDISHO yawafikie watu ili wamjue Mwenyezi Mungu basi hana haja ya kudai fedha zote hizo ambae inaonekana kama alikuwa na lengo la kupiga pesa kuliko kueneza neno la Mwenyezi Mungu
umeongea point sana kaka. Dini imekua biashara
 
Amejibu kwa nyodo na tale kama anataka kaka anasema kaka ake ndo alikua mdaiwa namshauri amlipie maana mwenzie yuko barzakh
 
Nadhani kama lengo la sheikh mbonde lilikuwa ni MAFUNDISHO yawafikie watu ili wamjue Mwenyezi Mungu basi hana haja ya kudai fedha zote hizo ambae inaonekana kama alikuwa na lengo la kupiga pesa kuliko kueneza neno la Mwenyezi Mungu
wacha kuchanganya mambo mkuu misahafu na biblia zote zinauzwa kanda za kwaya na mawaidha vyote vinauzwa hii ya Sheikh unataka saipewe haki yake eti alikuwa anafikisha neno la Mungu
 
Pale dini inapokuwa dili. Dini aina ni aina ya ujasiriamali.asante sheikh
mkumbuke yalikuwa ni makubaliano wangekubaliana zisambazwe bure si tatizo lakini walikubaliana malipo na yeye amezikuta zinauzwa hazikutolewa bure
 
Hizi dini ndio maana watu wanaoenda misikitini na makanisani wanapungua kila uchwao, yaani marehemu anadaiwa kwa kurekodi mawaidha ya sheikh tena ili yaenee kws watu halafu amefariki sheikh asamehi anadai pesa nyingi kuliko uhalisia wake. Mimi nitakua wa mwisho kuamini hawa watu.
 
nyimbo za injili nisawa watu kudaiwa lkn makubaliano ya Sheikh kulipwa ni vibaya kama umepungua kanisani ni wewe mtu akae aandae mahubiri nyinyi muyauze msimpe hata senti yeye akalipwe na Mungu waende wakae naye wagawane kilicho patikana kwa mujibu wa makubaliano
 
HIVI DIAMOND AMESHNDWA KUMCHOTEA MENEJA M 250? HALAFU TALE AJUE KUWA, KUFUNGWA NI HATUA YA MWSHO, KAMA HUNA HELA MALI ZAKO ZNAPGWA MNADA KIROHO SAFI.
 
Ni Ukauzu kudai kuwa dini zimeletwa na waarabu....Nani kakuambia kuwa Katoliki, Anglikan, Lutheran na Ulokole umeletwa na waarabu?
Wewe ndo kauzu maana hujui ulisemalo

Kwahiyo siku hiz mashehe ni wakatoliki na anglikan

Hapa tunamuongelea shehe ambaye din yake imeletwa na waarabu
 
Ole wao wanaotumia dini kupata PESA...ole wao wanaowadhulumu watu wa dini ili kupata PESA...
Dini ya uislamu imehimiza mtu asidhulum wala asikubal kudhulumiwa

Anauzs kanda zake anajipatia mamilion ila hamuon ka n kosa hilo ...mnataka awe bwege akubal watu watajirike kupitia yeye ....una upeo mdogo
 
Which crack are u smoking ???
 
Dini ya uislamu imehimiza mtu asidhulum wala asikubal kudhulumiwa

Anauzs kanda zake anajipatia mamilion ila hamuon ka n kosa hilo ...mnataka awe bwege akubal watu watajirike kupitia yeye ....una upeo mdogo
Wewe ndio unaupeo zero kabsa...soma uelewe kabla haujajibu.....au ushakula ugolo?
 
Lini na wapi umeona au kusikia mwanamuziki wa injili anadai marehemu kwa kusambaza injili? Eti kesi ya kusambaza mawaidha sheikh anaipeleka mahakamani! Tena adai hela, baada ya kuipeleka kwa Mungu adai thawabu.
 
Asiwe na shaka Dad is coming
 
Watu wa ovyo kuingizia majina ya mashujaa wa Afrika ktk habari zao za utapeli inakeraa !!!! Ati "hata akina Mandela walifungwa jela"

Si angetoa mifano ya watu kama akina mramba huko SHWAINI..
 
Lini na wapi umeona au kusikia mwanamuziki wa injili anadai marehemu kwa kusambaza injili? Eti kesi ya kusambaza mawaidha sheikh anaipeleka mahakamani! Tena adai hela, baada ya kuipeleka kwa Mungu adai thawabu.
Sheikh anadai kampuni aliyoingia nayo mkataba ambayo hadi leo inauza kanda za mawaidha yake haijafa ipo lazima aidai kama mdaiwa ni nikampuni inayofaidi jasho lake hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…