Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inakuaje kwenye ulipaji wa kodi?
Wabongo wana majungu hakuna wivu tu unasumbua.unakuta msomi ana degree first class na masters ya mzumbe then analipwa mil.2 per year jumla kwa mwaka mil.24.wakati hiyo mil 24 diamond anaingiza kwa show moja ya masaa machache.hapo ndio watu povu zinawatoka Mara kaenda kwa mganga wengine anauza madawa ya kulevya.haya majungu hayasaidii jiajirini muone raha yake sio kuvaa uniform za Nmb na kutamba Nazi mtaani.wakati unaweza kuanzisha microfinance na ukapata faida hata Mara 100 ya mshahara wako
Shigongo na global yake wamuache jamaa. Akitaka washkane pabaya na RUGE aendele. Na ali kiba pia aangalie,akiendele kuendekeza bifu na domo aisahau mawingu. Kunawatu wanatamani kuiona bongoflava inapaa kimataifa,sasa wengine waki emerge na kuanza shutma za kuwashusha wenye bidii katka hlo tena kwa makusudi,haitakuwa rahsi lazma na wao wapate challenges. Katka hli la madawa kumbe domo anajua knachoendelea na ndo mana alivopigiwa na global publishers aliwajibu short then akakata sim. Hebu tuone
Miaka kumi gani mingi ili kuonyesha ni uzushi huyo meneja aweke mikataba kiasi anacholipwa asipo weka lazima kuwe na doubt lisemwalo lipo
Kashamaliza swimming pool? Hivi Bado anatembelea Toyota? Ndio msanii wa kwanza tajiri kutembelea toyota!
Tumewazowea global watu wa kutunga skendo tu. Wameona OFM imashindwa kumpaka matope sasa wanampakazia madawa. Nenda kwa kamana Nzowa mmshitaki kama mna vielelezo. Kamua bwana mdogo wasikukatishe tamaa.
Unajua wasanii wengi walichemka baada ya kupata hela kisha wakaanza kuishi jinsi watu walivyotaka waishi,wakasahau kujipanga,wengi walinunua magari ya kufuraisha macho ya mashabiki,walikaa places kufuraisha mashabiki wamefeki sana kisha walipofulia hao hao waliowataka kuwafuraisha wanawacheka hawakujipanga .....Diamond naona kaja tofauti kidogo,kwa niliyoyaskia kama ni kweli basi atawasaplaiz sn raia.
Unajua wasanii wengi walichemka baada ya kupata hela kisha wakaanza kuishi jinsi watu walivyotaka waishi,wakasahau kujipanga,wengi walinunua magari ya kufuraisha macho ya mashabiki,walikaa places kufuraisha mashabiki wamefeki sana kisha walipofulia hao hao waliowataka kuwafuraisha wanawacheka hawakujipanga .....Diamond naona kaja tofauti kidogo,kwa niliyoyaskia kama ni kweli basi atawasaplaiz sn raia.
Yap hayo,tuambie na sisi..
Kashamalizia swimming pool? Bado anatembelea TOYOTA lake T CAZ 555.?
Kila kitu ni mipango na vipaumbele,sidhani kama Dai anashindwa kununua range au bima au whatever....hivi unajua gari anayotembelea Manji au Mo?
Manji na Mo wote wana Range Rover Vogue Nyeusi.