Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 18,772
- 8,939
Hizo hela wanagawanaje wote ie Diamond, Babu Tale na Fella? Maana dollar 15,000/- ni kubwa kama anachukua mtu mmoja? Je kila wiki wanafanya tamasha?
hawalipi Kodi kwani huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hela wanagawanaje wote ie Diamond, Babu Tale na Fella? Maana dollar 15,000/- ni kubwa kama anachukua mtu mmoja? Je kila wiki wanafanya tamasha?
Kwa kuongeza sifuri wako vizuri Show ya milioni mbili utasikia milioni mia mbili
Miaka kumi gani mingi ili kuonyesha ni uzushi huyo meneja aweke mikataba kiasi anacholipwa asipo weka lazima kuwe na doubt lisemwalo lipo
Kwa kuwa msumari wa inchi mbili umebaki inchi moja na umejaa kutu (rust) kibao; naomba serikali iruhusu vijana wauze unga kwa muda wa miaka mitano tu! vijana wajikwamue kiuchumi! Haiwezekani bidhaa hii iwe na fedha nyingi kiasi hicho badala ya kubuni njia ya kuiboresha ni kuiponda tu! Marufuku kuuza unga ndani au mtz kutumia unga ila nje ruksa kupeleka watoto wajipatie fedha!
"Dunia hii fedha kwanza (uchumi kwanza) sera ya marekani". Kwa nchi za magharibi na zilizoendelea heri watz au waafrika wote tufe lakini kile wanachotaka kwetu (mali) wapate. Hivyo nasisi acheni tuwapelekee madawa ya kulevya wachoke/wafe - sisi tupate fedha tena nyingi na wakati huo wakiisha victim / kufa hawatatusumbua tena (hawatatuibia mali zetu tena) na manyanyaso yatapungua! Wamefika pabaya wanatulazimisha tuoane wanaume kwa wanaume /ndoa za jinsi moja ati ndo watatupa misaada!
SERIKALI IKUSANYE MAPATO KWA WAUZA UNGA - HATUHITAJI MISAADA TENA
weka salary slip yako kwanza, mkataba wa malipo in any business ni confidencial.
babu tale zimemruka yani kalopoka tu kama mwendawazim hvy hiyo pesa ya show milion 30(dola elf 20) ndo analinganisha na pesa ya sembe kama ile ya madawa machache aliokamatwa nayo agnes south yaliyofikia bilion 7 . babu kwa tarifa yako hata mkipiga show 15 tena hata 100 huko marekani bado hizo hela hamuwezi kulinganisha na za sembe so katulie uongee kama manager na sio kuropoka kama kichaa duh ndo matatizo ya mamanager ambao hawana elimu
heaven on desert
Hivi inakuaje kwenye ulipaji wa kodi?
Kumbe hujui mkuu,diamond ana pasport ya diplomasia..
Na unavosema JKNIA kuna ukaguzi mkali huwez kupita na madawa una maana gani.?coz agnes masogange alipita na mzgo wa bilion7 hapohapo..
Manji na Mo wote wana Range Rover Vogue Nyeusi.
Kaa kimya kama haujui kitu,sio kila range ni vogue...manji ana push range ya kawaida tu billionaire yule.
Wanatudanganya kuhusu hiko kipato, au halipwi hivyo.
Kuzitaja hizo hela ni rahisi sana kuliko kuzipata. Hivi kufanya show marekani wanaona rahisi rahisi eeeeh?
Kuzitaja hizo hela ni rahisi sana kuliko kuzipata. Hivi kufanya show marekani wanaona rahisi rahisi eeeeh?
Swali zuriHizo hela wanagawanaje wote ie Diamond, Babu Tale na Fella? Maana dollar 15,000/- ni kubwa kama anachukua mtu mmoja? Je kila wiki wanafanya tamasha?