beingreal
Member
- Aug 9, 2014
- 53
- 23
Kila kitu ni mipango.....drake kaanza mziki kitambo ila ilimchukua muda kuhama YMCMB house na kununua ya kwake binafsi ya kifahari....diamond ana akili....na kwa show ya mil45 kwa tz inawezekana na ndo maana apigi show nyingi tz kwa mwaka....mwenyewe anakwambia ukipiga show daily watu watakuchoka...inshort huko anakoenda anaskiliza mafunzo kutoka kwa wasanii wenzake na anayafanyia kazi...alafu manager wake ni mtu poa sana bila yeye sidhan kama diamond angeweza kusocialize na watu ivyo.....ni kumpongeza na kuzidi kumsupport.