Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Asiongee tu kuwa kiasi fulani ili kuondoa uzushi aonyeshe mikataba anayolipwa aweke hata ili kuondoa uzusha kwanza aanze na ya Serengeti fiesta we need evidence here so.that we can believe Heaveni tupia picha hapa ya hiyo mikataba na amount anayolipwa
wewe ndio uweke evidence kuwa wanauza madawa ya kulevya sio kuleta majungu. Mfano: Mimi nikidai mama yako kanunuliwa gari na kikwete ndio nitatakiwa nilete kadi sio nimlazimishe mama yako athibitishe.
Umewehuka nini hebu soma vizuri sasa unamuingiza Jk kwenye swala la kipuuzi kama hili think big si wamejidai wenyewe kukanusha waweke sasa kila kitu wazi kama hawajaweka hio waliosema ni uzushi mtupu na mimi siwezi kuweka ya kwangu mana staki show off character ka ya hao waropokaji wasio na evidence wakiamuliwa kufatiliwa sijui anatoa nini shobo nyingine
Aliyewehuka ni wewe unayedai mtu anauza madawa ya kulevya halafu unalazimisha YEYE ndio atoe ushahidi mpaka wa mikataba. Kwa nini wewe unayedai usilete ushahidi??
We chizi nini stop ua personal attack umesoma mada kweli kamuulize shingongo aliyeandika habari wewe unaleta upuuzi hapa eti majungu aweke mikataba hapa sio kubwabwaja hapa yeye ndo aliweka hivo kwanini asiweke we need clear evidence otherwise akawaokote wapuuzi wake jibu hoja hapa maana meneja ndo kasema hafu kime ku touch sana unaweza ukawa mmoja wao si bure jibu hoja iliyowekwa unashupalia ujinga eti ushahidi mi ndo nimesoma mambo ya dola elfu thelathini i.d.i.o... Think big
1. mfano wa mama yako ni murua kabisa, nimemtumia mama yako ili ujisikie kama ndugu zake diamond wanavyojisikia watu kama nyinyi mnapoeneza sumu.
2. Being a celeb doesn't mean unatakiwa kukubali yote yanayosemwa juu yako, kwani celeb sio binadamu. Mbona wewe MFANO TU, unaomhusisha mama yako tayari unajisikia vibaya? Mama yako angekuwa celeb mfano waziri ungejisikiaje? Hivyo ndivyo anavyojisikia Diamond na watu wake wa karibu vile vile.
Pili nimesema show zake ni facts. Sasa hapo unabisha nini? Kwani kuna ubishi au utata wowote wa show ambazo tayari ameshapiga? mfano: Diamond ameperform kwenye MTV awards Durban mwaka huu, is that not a FACT to YOU? Au hujui maana ya FACT? Wewe ndio ujipange maana hata hueleweki. Sasa hesabu hizo shows ambazo amefanya, halafu linganisha na bei ambayo manager wake atakuambia, mbona vitu vingine simple tu, acheni majungu. Dogo anafanya kazi na inaonekana. Bei anayo-charge per show meneja ameshaiweka wazi, shoo anazopiga zinahesabika, sasa hapo unashindwa hesabu ndogo tu hizi?
vinginevyo isiwe tabu, siwezi kukuzuia kuamini kuwa Diamond anauza unga kama umeshaamua hivyo, inspite of the evidence to the contrary. Lakini na wewe usikasirike vile vile eeeh:A S wink:.....captain komba!
Mwenzio hajui mambo ya burden of proof...just hatred hawez kukuelewa atakutukana tu.
Naona tu umepaniki hujui hata unacho andika kajipange vizuri maana unaongea out of topic mara fact sijui na madudu gani irrelevant na mifano haina kichwa wala miguu ndo kutukuwa mwelewa wa mambo na ucelebrity uchwara uliokuja accidentally angekuwa hataki kuongelewa ili kuwaje manager wake akaropoka sasa acheni kuchekesha wenyewe muongee kwenye media ili muonekane mabilionea hafu hamtaki kuongelewa hizo show za kueleweka anazijua mwenyewe non of our bussness sasa mbona unalia sana kuhusu unga only time will tell basi
sasa hivi ndio nimeangalia ID yako imejiunga lini, ...NISHAKUSOMA! my mistake, YOU WIN!
Ha ha ha crazy kweli joining jf doesnt matter wewe kwani mtu anakua na id moja umeishiwa tu hoja hadi kuangalia cku ya kujiunga ua an empty set hapo ndo nimejidhorisha kumbe sio great thinker
wewe mwenyewe ukisoma ulichoandika hapo unakielewa?
Ha ha kajipange umeishiwa hoja nadhani hujielewi ka boost thinking capacity yako