Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Sallam kapigwa stop kuingia USA zamani sana enzi za ujana anaishi majuu aliharibu.. kabla hata diamond hajaanza kuimba na wala hajui kama kuna mtu anaitwa sallam

mkuu, ni kweli Sallam alikuwa meneja/promoter wa Mr nice alafu akamtapeli Nice ?
 
Hata kama ubunge unalipa, ndy lishatokea hilo la msiba mbele yake,,,anapaswa aachane nalo hilo,,,imeshakuwa mkosi huo,,,na kama ataendelea na mipango yake hiyo? basi hicho kifo cha mkewe ni sehemu ya mipango ya babu tale kugombea ubunge,,,,damu ya mtu ni nzito sana...hiyo story ya babu tale ni sawa na wale majambazi waliovamia sehemu wakafanya ubakaji na uuaji kisha wakatokomea,,, halafu asubuhi yake wakafuata mapanga yao walioyasahau Jana,,,, hyo yote ni nguvu za roho za marehemu,,,ubaya unajidhihirisha waziwawazi...
 
Wanaohusisha Ubunge na kutoa kafara akili hawana. Hivi professor J na sugu waliupata ubunge kwa kutoa kafara? Muacheni babu take akatafute kazi mpya wanae waishi maisha mazuri.
Wat tha fuk, nikiona hii comment ya kua afanye mishe ile wanawe wapate maisha mazuri, ni upuuzi, alishindwa kufanya hivyo wakati mke yupo hai, kuwapa hayo maisha mazuri hadi wanaenda kuzunguka kwa waheshimiwa wakuu wa mikoa na wilaya kuomba msaada, ndio ije kua sasa hivi atawapa hayo maisha mazuri, thats stupidity, greedy, selfish, angewapa maisha mazuri angali mke yupo hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Una uhakika kuwa hakuwa na mipango ya kuwa mbunge mwaka huu kabla mpenziwe hajafa? Unataka kusema kuwa mshahara wa umeneja na ubunge ni sawa? Narudia tena "Acha jamaa apate ubunge watoto waishi". Ubunge ungekuwa haulipi basi watu wasingeacha kazi zao za maana wakaukimbilia.
 
Kichwa cha habari Morogoro vijijini habari yenyewe Morogoro mjini
 
Aisee kwa hiyo monong'ono ya Kafara inaweza kuwa kweli? Aiseeeeeeeee
 
 
umeruka point ya msingi yani unataka kufika kigoma ila unazungukia marekani
unasema kua autafute ubunge ili awe na maisha mazuri, ndio nauliza hayo maisha mazuri hajawapa wanae au na mkewe akiwa bado yupo hai? Mume upo ila mkeo anazunguka kuomba msaada kwanini...
 
Nimeanza kusoma page 1 mpaka hapa huyu binti bado hajafika tu?
 
Ni Bongo tu ndio kuna haya maajabu ya kiswahili, Mke alishafariki, alishazikwa, habari yake duniani imekwisha kwahiyo hilo halipaswi kumzuia jamaa kugombea ubunge.

Mtu akishakufa baas, haizuii maisha mengine kuendelea, haya mengine ni Uswahili tu.
 
Wabongo wengi ni wanafiki wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…