Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Hivi inawezekana babu tale hapo kwa diamond akiwa kama manager hana anachokipata?kweli umaarufu mzigo mzito....basi ni kweli lisemwalo lipo,,,na MUNGU hamfichi mnafiki,,nikitafakari sana kile kilio chake kwenye msiba,,niliona ipo sinema ndani yake...
Tatizo kwa Diamond mgawo ni wengi. Na madawa ya kulevya biashara Magufuli kabana. Sasa kisa ni popular kishajiona anafaa kuwa mbunge. Any way ni haki yake kikatiba.
 
Amkeni Amkeniiii🗣️🗣️ kumekucha kumekucha haya kile kinya'ganyiro cha Ubunge kimewadia ndugu Wananchi mnapedekezwa mwende mkachukue form za ugombeaji? Asiwe na mwana Aelekee jiwe😜😁🤦
 
Amkeni amkeni, kumekuchaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah, Heeeeh haya sasa kafara imeshatolewa, Now yupo bizze na mchakato majonzi tupa kule, Ubunge mtamu jamanii uwiiiiiiiiiiiiiiih.
 
Halafu kwani watu before ubunge walikuwa wanaishije?
Maana majority ni raia wa kawaida kwani hatuishi, pesa zipo na zinataftwa tu lakini when ur loved one is gone atleast Kuna kipindi, flani hivi.

Acheni unafiki... babu tale anachofanya ni sahihi.. hana tofauti na mtu mwingine anaetafuta kazi maana hata kipindi cha msiba.. kuna watu wanaenda kwenye interview za kazi..

Babu tale kamuuguza mkewe, amemzika vizuri, ila watu hamridhiki.. baada ya msiba baba si anaenda kazini.. kipindi cha matanga kikifika anashiriki kama kawaida.. babu tale ni mtu makini sana...japo hajasoma sana ila amelea familia yake vizuri tena kwa ustaarabu.. watu wengi wenye kazi kama zake za kusimamia wasaniii ndoa zimewashinda... ila babu tale na uislam wake ameoa mke mmoja na wameishi vizuri bila skendo mpaka kifo kimewatengenisha...

Ameshamzika mke wake.. mwacheni akatafute kazi kwa ajili ya watoto wake awalee vizuri

Maana mnamponda humu huku hamumsaidii kutunza familia... akikaa nyumbani mtamlisha nyinyi na kumlipia ada..

Ubunge una maandalizi yake.. huupati kwa zima moto... watia nia wote kipindi hiki wapo majimboni wanapiga figisu figisu... why mnataka babu tale achelewe akute wenzake wameshamtangulia na kumwacha mbali kwenye figisu... kuwahi muhimu
 
Kwa hesabu za kawaida bado kuna mambo mazito yamezunguka juu ya saga zima hili.. wingu hilo zote kwa sasa itakuwa ni tafrani kwa upande wa pili. Yawezekana mke alishajua yeye ndio target na ndio maana alianza harakati mapema za kujikomboa(hii ni kwa mujibu wa post flani flani) sasa mbaya zaidi ni kule alikokimbilia ni moto utawaka. Maana ile laser guided missle ukishatumiwa na target iko locked ku intercept inatakiwa utaalam mkubwa. Sina shaka na mtaalam aliemkimbilia, ila tatizo ni life style ya muhusika! Life style inaua nguvu na karama na hata vipawa vya kutibu... alijaribu ila ndio hivyo kombora lilimuondoa mlengwa!

Kazi kwa picha za msiba ule kule Moro, sanduku kuwekwa chini ardhini ndani ya nyumba na huku likiwa juu ya jamvi nusu mwili (Yani nusu juu ya jamvi na nusu juu ya ardhi) na mpangilio wa watu kuzunguka pale ni viashiria tosha kwamba chain ile imekuwa unbreakable..tutarajie uvunaji wa jamaa zaidi kwenye familia yake. Na kwa yule aliejaribu ku intercept lile kombora ndio atamezwa taaluma yake maana maziko yale yalizika vingi/mengi... ngoja tuone
 
Kweli huyu jamaa since 2015 Kuna Uzi humu, angetulia kidogo kwanza kuepusha maneno ya waja, hafu morogoro mjini Kuna abood pale kumtoa kazi si ndogo.
Ubunge utateketeza wengi
Yaan mpaka nimeogopa[emoji26]
 
Hivi inawezekana babu tale hapo kwa diamond akiwa kama manager hana anachokipata?kweli umaarufu mzigo mzito....basi ni kweli lisemwalo lipo,,,na MUNGU hamfichi mnafiki,,nikitafakari sana kile kilio chake kwenye msiba,,niliona ipo sinema ndani yake...
Kile si kilio cha huzuni, hata mtoto mdogo angecheki angejua tuu
 
Sasa akae siku arobaini kisha asubiri ubunge 2025?
hata kama akikaa mwaka bila kufanya kazi, hatoweza mfufua Marehem
 
Kwa hesabu za kawaida bado kuna mambo mazito yamezunguka juu ya saga zima hili.. wingu hilo zote kwa sasa itakuwa ni tafrani kwa upande wa pili. Yawezekana mke alishajua yeye ndio target na ndio maana alianza harakati mapema za kujikomboa(hii ni kwa mujibu wa post flani flani) sasa mbaya zaidi ni kule alikokimbilia ni moto utawaka. Maana ile laser guided missle ukishatumiwa na target iko locked ku intercept inatakiwa utaalam mkubwa. Sina shaka na mtaalam aliemkimbilia, ila tatizo ni life style ya muhusika! Life style inaua nguvu na karama na hata vipawa vya kutibu... alijaribu ila ndio hivyo kombora lilimuondoa mlengwa!

Kazi kwa picha za msiba ule kule Moro, sanduku kuwekwa chini ardhini ndani ya nyumba na huku likiwa juu ya jamvi nusu mwili (Yani nusu juu ya jamvi na nusu juu ya ardhi) na mpangilio wa watu kuzunguka pale ni viashiria tosha kwamba chain ile imekuwa unbreakable..tutarajie uvunaji wa jamaa zaidi kwenye familia yake. Na kwa yule aliejaribu ku intercept lile kombora ndio atamezwa taaluma yake maana maziko yale yalizika vingi/mengi... ngoja tuone
We ni mganga/ kalumanzila mkuu?
 
Back
Top Bottom