Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Tatizo kwa Diamond mgawo ni wengi. Na madawa ya kulevya biashara Magufuli kabana. Sasa kisa ni popular kishajiona anafaa kuwa mbunge. Any way ni haki yake kikatiba.
Heheehe baba yao siyupo mkuu wa jiji ...biashara inakuwaje ngumu kwao
 
Huko Morogoro vijijini kwa uelewa wa watu kule ukipitishwa na ccm unaishinda huhitaji hata kafara ya kuku. Wananchi kule wako dunia nyingine kabisa
Kama ni rahisi unavyodhani kachukue fomu ccm upitishwe wewe! Kazi ya kafara inaanzia stage 1 ambayo ndo kura za maoni mpaka kuja kuwa mbunge
 
Ila kumtoa Abood moro mjini ni shughuli sana na wananchi wanamkubali mno uyo babutale akamuulize afande sele alipata kula ngapi 2015
Jamaa ana kichaa huyo sio bure... Abood amewafanya watu wa Moro kama sehemu ya family yake .... So kujipambanisha nae anajidanganya .. Abood tangu miaka ya 80 anatoa huduma mbali mbali katika mji wa morogoro ukiachilia mbali ajira alizowapa wakazi wa mkoa huo...yeye anajipi jipya la kuisaidia Moro ? Ambalo abood hajawahi kulifanya
 
Sallam kapigwa stop kuingia USA zamani sana enzi za ujana anaishi majuu aliharibu.. kabla hata diamond hajaanza kuimba na wala hajui kama kuna mtu anaitwa sallam
Ndiyo kwa sababu alikuwa anauza madawa. Sallam pia aliwahi kuishi Sweden kazi yake kubwa ilikuwa dealer. Aliona mambo hayaendi kwanza hakuwa na makaratasi ndo akajirudia bongo akaendeleza kuuza ganda huku akijificha kwenye mission town. Mwishowe akaanza kumanage wasanii ambao ni mapunda pia.
 
Back
Top Bottom