cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Wasanii too much fakeness Bora hata walipokuwa mapunda Hadi magufuli atoke madarakani tutashuhudia mengiVee alisema ukweli tukamcheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasanii too much fakeness Bora hata walipokuwa mapunda Hadi magufuli atoke madarakani tutashuhudia mengiVee alisema ukweli tukamcheka
Hahaa huyo mama ndiye kingungwe hapo wcb ...that's why waona ana power kubwa Sana.. Hiyo family kwa uchawi acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] dah hatari Sana waswahili Wana Mambo, Bora hajaoa huyo maana kukutoa kafara Kama kunywa maji tu
Ulisema kipindi amefariki watu wakakubeza naona Leo wanaona dalili za uliyoyasemaKishatoa kafara anaendelea na kutafuta ubunge. View attachment 1496240
Mastar wote awamu hii wamefulia Sana tuNdo maana wamepooza nowdays[emoji848]
Ooohoo afu kweli banaaKama ni rahisi unavyodhani kachukue fomu ccm upitishwe wewe! Kazi ya kafara inaanzia stage 1 ambayo ndo kura za maoni mpaka kuja kuwa mbunge
Jamaa walikuwa wana safiri na lundo la mabegi mamaeee... Halafu wanaenda kundi zima mpaka na house girl anabebeshwa kete(kidding) ..lolEnzi za JK hawa walikuwa wakisafiri wanabeba na ganda.Mpaka leo Sallam kapigwa stop kuingia USA.
Ila haya Mambo ya kafara huwa yanaishia pabaya, familia inatekea una Rudi zero square, Kuna mtu alikuwa tajiri wa kafara Ila vitu vilipobuma karudi maskini tupuHahaa huyo mama ndiye kingungwe hapo wcb ...that's why waona ana power kubwa Sana.. Hiyo family kwa uchawi acha kabisa
Hadi unajiuliza muziki una lipa Sana sikuhizi eeehJamaa walikuwa wana safiri na lundo la mabegi mamaeee... Halafu wanaenda kundi zima mpaka na house girl anabebeshwa kete(kidding) ..lol
Naam alianza na wasanii kama ay Mr nice ...wote walikuwa ni mapunda wake ...Jamaa kachangia sana kuharibu nguvu kazi ya taifaNdiyo kwa sababu alikuwa anauza madawa. Sallam pia aliwahi kuishi Sweden kazi yake kubwa ilikuwa dealer. Aliona mambo hayaendi kwanza hakuwa na makaratasi ndo akajirudia bongo akaendeleza kuuza ganda huku akijificha kwenye mission town. Mwishowe akaanza kumanage wasanii ambao ni mapunda pia.
Ndio maana kuna mtu mzima alinambia kila ndoa ni kama kaburi, hata nje lipendeze vipi ila mifupa iliyopo ndani wanaijua maiti tu. AseeeMkuu umeyaona hayo ??
Yeye mwenyewe ndiye gwiji la uchawi ...wanaanzaje kumtoa kafara kwa mfano
Hadi Ay alikuwa punda, hivi ni kwanini wasanii wanapenda upunda hiviNaam alianza na wasanii kama ay Mr nice ...wote walikuwa ni mapunda wake ...Jamaa kachangia sana kuharibu nguvu kazi ya taifa
Wasalaam
Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo aneanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa morogoro mjini kupitia tiketi ya CCM!
Pamoja na mpango huo ndugu zake wa karibu wamekuwa wakiweka shinikizo la kupinga ndugu yao kugombea ubunge hasa kipindi hiki ambacho amefiwa na mke wake na uchaguzi umekaribia....na bahati mbaya ni juzi ametoka kufiwa na mke wake
hivyo haitaleta picha nzuri kwenye jamii kwani ubunge usimfanye aka sahau utu na yeye ni mfiwa hata msiba hajapoa na hata udongo kwenye kaburi la mkewe haujashikana!
Lakini ushauri wa ndugu na watu wa karibu wa Tale umegonga mwamba kwani waki ijayo Babu Tale ana tarajia kwenda kuweka kambi morogoro kwaajili ya maandalizi ya kugombea ubunge wa morogoro mjini
Kuna mtu pia katangaza nia jf ya kuingia moro mjini ila nikamuambia pia moro kwa abood sio jimbo ila ni business empire kiasi flani. Misaada anayoitoa pia sio rahisi kumtoa pale labda Mungu amsaidie sanaJamaa ana kichaa huyo sio bure... Abood amewafanya watu wa Moro kama sehemu ya family yake .... So kujipambanisha nae anajidanganya .. Abood tangu miaka ya 80 anatoa huduma mbali mbali katika mji wa morogoro ukiachilia mbali ajira alizowapa wakazi wa mkoa huo...yeye anajipi jipya la kuisaidia Moro ? Ambalo abood hajawahi kulifanya
Hahaahaa alikuwa sahihi100%Ndio maana kuna mtu mzima alinambia kila ndoa ni kama kaburi, hata nje lipendeze vipi ila mifupa iliyopo ndani wanaijua maiti tu. Aseee
Watu wanatangaza Nia hata Kama anajua hashindi ili akubumbukwe hata UDC na udasKuna mtu pia katangaza nia jf ya kuingia moro mjini ila nikamuambia pia moro kwa abood sio jimbo ila ni business empire kiasi flani. Misaada anayoitoa pia sio rahisi kumtoa pale labda Mungu amsaidie sana
Haswaa pale si parahisi ni PAGUMUUUUU kama Ngamia kwenye tundu la sindano na yule inabidi mambo ya kupuliza yawe level za PHD hivihivi yatamkuta Mambo ni SWALA LA MUDA ....Kweli huyu jamaa since 2015 Kuna Uzi humu, angetulia kidogo kwanza kuepusha maneno ya waja, hafu morogoro mjini Kuna abood pale kumtoa kazi si ndogo.
Ubunge utateketeza wengi
Pagumu kweli huyo Abood labda akatwe juu kwa juu na kamati ya chama hivi hivi si kazi Rahisi kwa kweliHaswaa pale si parahisi ni PAGUMUUUUU kama Ngamia kwenye tundu la sindano na yule inabidi mambo ya kupuliza yawe level za PHD hivihivi yatamkuta Mambo ni SWALA LA MUDA ....
Duuhhh kweli hata uwe competent vipi ila kama huna referee au kujua mchezo unachezwaje kupata ni ngumu..Watu wanatangaza Nia hata Kama anajua hashindi ili akubumbukwe hata UDC na udas