Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Babu Tale kuweka kambi Morogoro Vijijini kwa ajili ya ubunge! Familia yagawanyika

Hahaa huyo mama ndiye kingungwe hapo wcb ...that's why waona ana power kubwa Sana.. Hiyo family kwa uchawi acha kabisa
Ila haya Mambo ya kafara huwa yanaishia pabaya, familia inatekea una Rudi zero square, Kuna mtu alikuwa tajiri wa kafara Ila vitu vilipobuma karudi maskini tupu
 
Ndiyo kwa sababu alikuwa anauza madawa. Sallam pia aliwahi kuishi Sweden kazi yake kubwa ilikuwa dealer. Aliona mambo hayaendi kwanza hakuwa na makaratasi ndo akajirudia bongo akaendeleza kuuza ganda huku akijificha kwenye mission town. Mwishowe akaanza kumanage wasanii ambao ni mapunda pia.
Naam alianza na wasanii kama ay Mr nice ...wote walikuwa ni mapunda wake ...Jamaa kachangia sana kuharibu nguvu kazi ya taifa
 
Naam alianza na wasanii kama ay Mr nice ...wote walikuwa ni mapunda wake ...Jamaa kachangia sana kuharibu nguvu kazi ya taifa
Hadi Ay alikuwa punda, hivi ni kwanini wasanii wanapenda upunda hivi
 
Haya madaraka jamani yatufanya tunakosa ubinadamu kiasi hicho
Wasalaam

Meneja wa Diamond Platinumz ambaye amefiwa siku tatu zilizopita ,kuanzia leo aneanza mchakato na kuendelea na mchakato wa kugombea ubunge wa morogoro mjini kupitia tiketi ya CCM!


Pamoja na mpango huo ndugu zake wa karibu wamekuwa wakiweka shinikizo la kupinga ndugu yao kugombea ubunge hasa kipindi hiki ambacho amefiwa na mke wake na uchaguzi umekaribia....na bahati mbaya ni juzi ametoka kufiwa na mke wake

hivyo haitaleta picha nzuri kwenye jamii kwani ubunge usimfanye aka sahau utu na yeye ni mfiwa hata msiba hajapoa na hata udongo kwenye kaburi la mkewe haujashikana!

Lakini ushauri wa ndugu na watu wa karibu wa Tale umegonga mwamba kwani waki ijayo Babu Tale ana tarajia kwenda kuweka kambi morogoro kwaajili ya maandalizi ya kugombea ubunge wa morogoro mjini
 
Jamaa ana kichaa huyo sio bure... Abood amewafanya watu wa Moro kama sehemu ya family yake .... So kujipambanisha nae anajidanganya .. Abood tangu miaka ya 80 anatoa huduma mbali mbali katika mji wa morogoro ukiachilia mbali ajira alizowapa wakazi wa mkoa huo...yeye anajipi jipya la kuisaidia Moro ? Ambalo abood hajawahi kulifanya
Kuna mtu pia katangaza nia jf ya kuingia moro mjini ila nikamuambia pia moro kwa abood sio jimbo ila ni business empire kiasi flani. Misaada anayoitoa pia sio rahisi kumtoa pale labda Mungu amsaidie sana
 
Ndio maana kuna mtu mzima alinambia kila ndoa ni kama kaburi, hata nje lipendeze vipi ila mifupa iliyopo ndani wanaijua maiti tu. Aseee
Hahaahaa alikuwa sahihi100%
 
Kweli huyu jamaa since 2015 Kuna Uzi humu, angetulia kidogo kwanza kuepusha maneno ya waja, hafu morogoro mjini Kuna abood pale kumtoa kazi si ndogo.
Ubunge utateketeza wengi
Haswaa pale si parahisi ni PAGUMUUUUU kama Ngamia kwenye tundu la sindano na yule inabidi mambo ya kupuliza yawe level za PHD hivihivi yatamkuta Mambo ni SWALA LA MUDA ....
 
Haswaa pale si parahisi ni PAGUMUUUUU kama Ngamia kwenye tundu la sindano na yule inabidi mambo ya kupuliza yawe level za PHD hivihivi yatamkuta Mambo ni SWALA LA MUDA ....
Pagumu kweli huyo Abood labda akatwe juu kwa juu na kamati ya chama hivi hivi si kazi Rahisi kwa kweli
 
Watu wanatangaza Nia hata Kama anajua hashindi ili akubumbukwe hata UDC na udas
Duuhhh kweli hata uwe competent vipi ila kama huna referee au kujua mchezo unachezwaje kupata ni ngumu..
so hapo unaanza huko chini kumbe target ni 2025 uingie mjengoni
 
Back
Top Bottom