Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,782
- 3,199
Kabla ya huo ubunge walikua wanaishi maisha gani? Na akienda akiukosa ataishi maisha gani?
Kwa hio mama akifariki.. baba asiende kutafuta kazi kwa ajili ya watoto wake waishi maisha mazuri?
Huyo huyo babu tale watoto wake wakikosa ada mtamsema mtandaoni..
Hujui ubunge unalipa sana... unajua watoto wa wabunge wanavyoishi maisha mazuri.. sasa babu tale kuwatafutia hayo maisha watoto wake mnamponda. Mnajifanya hamjui ubunge unapatikana kwa kugombea jimboni na sio kila siku kuna mda wake.. babu tale akichelewa aseme amlilie mkewe itambidi asubiri tena hadi 2025.. huku hio miaka mitano watoto wanasota maisha ya kubahatisha.. hadi diamond ampe posho